Elections 2010 Matokeo ya Monduli CCM Kidedea

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza
 
Endelea kuamini, utakapoacha kuamini tutakuwa tayari ikulu. Peoples pooooooooooooooooooooooooooooower
 
Hahahaahaaaaaaaaaaa, silaa akiingia ikulu monduli uchaguzi utarudiwa, hivyo jykeywaukweli subiri kupiga kura tena ya ubunge
 
Lowassa viiiiiiiiipiiiiiiiiiiii? Nipeni status yake huko Monduli au ndo hivyo kapitaaaa?
 
Anaota huyu.ccm kushinda monduli ndio 80+ kweli jamani!!!jimbo moja ndo lina-make up 80+!!!anaota ndg yangu.pipoooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzz!!
 
Ni kweli Fisadi Lowassa kashinda hata Ingunga Fisadi Rostam ameshinda ni habari mbaya hakuna namna!
 
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza
Hadi unatia huruma haya tunasubiri tuambie matokeo ya Igunga kwa Fisadi wenu pole sana.
 
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza
Wee Jey Key nnimekushtukia zinga la snitch,usilete usnitch wako humu!!

Unaota ndoto wewe. Mwenzako mramba na monica mbega tarari tume imeshibitisha wako nje. karatu pia tayari. wewe ota hivyo hivyo
 
Mkuu tupe data kwanza. Una haki kumpenda umpendaye lakini sasa tunataka matokeo in figures kwanza.
 
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza

usituchafulie hali ya hewa tupo bze nakufwatilie matokeo
 
Kweli huyu jamaa kapoteza mwelekeo km kaka yake jaa kaa
hahahahahaaaaaaaaa hakuna hata ushindi wa kunyata mpendwa
hapa ni vidole viwili tuuuuuuuuuuuuu
hahahahahahahahaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom