Tanzania.... All leader Should Be Ashamed........ Its Embarrasing....

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
Check this out.......
Highest mountain in Africa; Three Biggest Lakes in Africa; Plenty of rivers... and waterfalls; Minerals including Tanzanite (only found in Tanzania); Plenty of land which can be used for Agriculture; 40 million people who can be utilised to boost the economy; Three ports (other countries are landlocked)
.... and many more......

Yet we are Poor Sooo Poor (Even importing tooth picks and cotton earbuds)

WHATS LACKING WHATS MISSING.......

UONGOZI BORA........ SHAME ON YOU PEOPLE (AND WE TANZANIANS WHO HAVE PUT THEM THERE)
 
Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,866
984
Pongezi kwa kuona ukweli. Wewe ni kati ya watanzania wachache wanaoweza kuona unavyoona. Wengi ni mbumbumbu. Hata waliokwenda shule walihudhuria madarasani lakini hawakuelimika. Si tunawaona wengine hapa JF?
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
Kama Chinua Achebe angelizuru Tanzania yetu hii leo, Miaka karibia 20 tangu rafiki yake kipenzi Mwalimu Nyerere aage dunia, pengine kwa kukaa kwake hapa kwa walau siku mbili tu huenda ANGEHIARI MWENYEWE kubadilisha usemi maarufu duniani juu ya nchi yake Nigeria kabisa.

Huyu Profesa wa fasihi anasema kwenye mojawapo vitabu vyake kwamba 'The Problem with Nigeria is not her people, nor her waters, her mountains, her agricultural land, her minerals, her youths, her religions - the problem with Nigeria is on the quality of leadership'. Tathmini yake alipojituliza nyumbani akila Fufu ilimpa akilini kwamba mambo yote aliyoumba Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yake nchini Nigeria yote ni shwari isipokua kinacholitafuna taifa lao hilo ni tatizo sugu la uongozi mbovu.

Hapo penye wino mzito sana sana angeligeuza na kuliandika upya kuwa ni neno Tanzania.
 
Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,890
2,617

Incredibly true! Asante sana
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
Why are we importing viberiti?? Kibo ilikwenda wapi?? What about TandBond?..... Whitedent? karatasi madukani zimejaa za import tu je hatuwezi tengeneza karatasi na misitu yote hii?, Iko wapi dodoma wine? Watu tunataka misaada hadi ya chandarua...

Huu si uzembe tu, bali ni ubinafsi wa viongozi, upuuzi na uzembe wa hali ya juu. Tutagawa madini yetu yote na tutabaki na mabonde ndipo pale wale machinga wa kule machimboni nao watakapokosa ajira, watoto wa mitaani omba omba wapo tele je taifa la kesho litakuwaje? Rushwa na uchakachuaji umekuwa kama kawaida... kwakweli ukiangalia Tanzania tulivyobarikiwa na tunavyochezea bahati yetu ni aibu ya hali ya juu..
 
Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
422
Haijaishia hapo bado kila kitega uchumi kinamilikiwa na Viongozi.... wanamiliki mpk misitu......Ukisema Bado tu masikini unakosea sana...Jiseme wewe kama wewe bro'....Hii nchi kuna watu (wachache) wana ukwasi wa ajabu sema hao forbes hawachukui statistics za Bongo kaka....Sema mkataba gani hauna Mkono wa Viongozi???? Richmond, EPA, MEREMETA, TANGOLD etc kote huko wametajwa watu then unasema bado tu masikini??? Its me n u who are still poor......Nina uhakika hata TRA kuna mtu anaimiliki....its a matter of tym utasikia.....
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,975
4,058
Laiti hao watawala wangekuwa wanatambua kuwa huko wanakokwenda kuomba misaada kila kukicha ni watu kama sisi Watanzania,tofauti kubwa ni kuwa hao wameamua kujenga nchi na kwetu Tanzania viongozi wameamua kufilisi nchi.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
Tunapongezana kwa kuongeza ajira ya wauza bar na wabeba soda na bia... Tunajenga majinga complex ili wote tuendelee kuuza bidhaa kutoka China... Hivi wote tukiwa machinga tutamuuzia nani?? Tengeneza viwanda nchini (kutengeza juice, kupack maziwa, etc) malighafi zipo nchini, finished products watu watanunua na zitaleja ajira kwa vijana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom