JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Dec 10, 2010.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho Profesa Nyang'oro.
  Vitabu hivyo vitaanza kuuzwa kwenye duka la vitabu la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kwa gharama ya shillingi 25,000/= .  Kuna aliyekisoma?Tunaomba mawazo...


  Source:MICHUZI
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hana jipya huyo mkwere!
   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Atasoma yeye na ndugu zake. Kafanya nin cha maana hadi kitabu kiandikwe?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ana vingi vya kuandikwa juu ya wasifu wa maisha yake.

  Kwa ufupi, he is a born leader, kuanzia shule mpaka kuwa Rais wa watu kama wewe, he must be something.

  Nakifata nikakinunuwe kabla nakala za mwanzo hazijaisha.
  Kalagabaho.
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Wewe darisalama wala husipate tabu kukitafuta kwa haraka,kwani utakikuta hata ukienda 2020! Hakitanunulika ng'o tena bei yenyewe 25k,imekula kwake. At least kingeuzwa buku,raia wangetaka kuona upupu uliomo kwny hayo makaratasi yaliyounganishwa na kuitwa kitabu!
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Kuna Prof amekosoa sana kuwa mapungufu hayajaongelewaaa...kabisaa!!!!wameongea positive side tuuu....huyo mhariri ametoa changamoto
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Alaa, kumbe ana positive side?

  Negative wanaiona mahasidi tu.
   
 8. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sipotezi hata senti hapo! Kiasi nnachomfahamu kinatosha.
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwa sababu ni hakika kimejaa upupu hawezi kuweka bei rahisi maana anaogopa kujipolomosha kabisa mbele ya jamii
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa tunangoja cha mpiganaji Mbowe! Sijui vita ipi atiandika humo, labda ya kuzuia wanaporushiana chupa pale bili. Aaaah, ataelezea u pro DJ wake.
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sina hakika na jinsia yako, ama lah wewe ni yule r i z i w a n i
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180


  Watu nao kwakujipendekeza hawajambo. Nyang'oro nae anataka ubunge? hii kali, subirini tu mtasikia.
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Dec 10, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama ameelezea jinsi alivyowaacha mafisadi wa EPA, Meremeta, Tangold, Deep Green Finance, etc bila kuwachukulia hatua yoyote kwa kuwa alifaidika na ufisadi huo, nitakinunua!
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  We Kinana vipi? Kuwa na vitu vingi vya kuandika hatukatai, kwa mfano mambo ya boyz 2 men ni moja ya mambo mengi, kuzusha kifo cha Balali vilevile ni moja ya mambo mengi, kuiba pesa za walipakodi BOT ni moja ya mambo mengi, kusafiri sana kama Vasco da Gama ni moja ya mambo mengi.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kamuulize Hosea.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Andika chako.
   
 17. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kingekuwa free copy, kwenye ndege, bar, clubs etc
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180


  Nina kazi moja tu, ambayo ni kusoma vitabu siyo kuandika.

  Tupe muda tusome UPUPU wa huyo msanii wa boyz2men
   
 19. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Nitakinunua siku TOILET PAPER zikiadimika madukani
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nimeikumbuka ile gazeti la CHECHE.
   
Loading...