Mimi nadhani humu JF watu wengi tumeingia katika kupalilia mgogoro mkubwa ulio ndani ya CHADEMA ili hali tunajua hali itakuwa mbaya sana kama tutaamua kumwangamiza kiongozi mmoja na wengine...
sherehe za siku ya uhuru wetu 9.12 ndio hiyooo inakaribia sasa kama kawaida rais wa jamhuri ya muungano huwa mgeni rasmi na msemaji siku hiyo, jee, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbowe na...
Jamani kuna mtu huyu ambaye amekuwa akipamba sana vichwa vya habari katika media za hapa nchini. Mara Richmond, mara anamsafisha Chenge na mara anawachunguza wabunge. Kila siku anakuja na jipya...
I am a great beliver there should not be privacy in the Public office... Tunahitaji kujua yote yanayoendelea especially when our taxes are concerned.
We need to know kwamba mtu anawajibika, na...
nimetoka Urambo-Tabora this morning,majority wanalalamika wanataka kadi za uanachama lakini hazipatikani.nimefuatilia ofisi ya wilaya wanasema makao makuu hawajatuma toka kabla ya uchaguzi
Lakini...
Wana JF mimi kuna wanachama wapya wa Chadema sina imani nao kabisa. I dont have any personal issues with them but I am uncomfortable with them. I dont real know what they have in their hearts. Ni...
Ninafahamu mashirika ya TANAPA/NCAA kazi yake ni kusimamia hifadhi za taifa pamoja na hifadhi ya Ngorongoro. Kazi yao ni kusimamia kwa maana ya kutunza ili nature iendelee kuwepo ili wanyama...
Inatia aibu sana kuona kwamba nyingi ya ofisi zetu kwa kweli zina hali ambayo sio ya kustahili kuonrsha sura ya Taifa letu. Dote tunaona tunalalamika tunaacha. Tukumbuke kuwa hapa nazungumzia ofis...
Ktk ufuatiaji wa hati za nyumba imegundulika kua kamishna wa kusaini hati ni mmoja tu Dar sijui mikoa mingine inakuwaje. Mawazo yangu yananiambia kua hii si sawasawa kwani uwezekano wa kutokea...
Salaam waungwana toka kwa Madiba! Bila shaka hamjambo! Nilipo hapa nafikiria huko nyumbani kinachoendelea na wakati huu ambapo mbayuwayu yuko Ubelgiji sipati picha pale ambapo waziri mkuu angekuwa...
HABARI ZENU WANA JF
Nimeonelea leo tujadili hili suala je watunga sera hawalioni kama ni kitega uchumi kwa wenzetu toka Bukoba hasa maeneo ya Nyamkazi especially maeneo ya Nyanshenye secondary...
Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008...
Nigeria yamshitaki Dick Cheney
Idara ya kupambana na rushwa nchini Nigeria imefungua mashtaka dhidi ya makamu wa zamani wa rais wa Marekani Dick Cheney, kuhusiana na kadhia za hongo...
Wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) wameikataa bajeti waliyopelekewa na serikali ya Tanzania kuwa ni tofauti na iliyopitishwa na bunge Julai mwaka huu.
Jamani hii si aibu na...
Ndugu zangu,
tayari Serikali mpya ya CCM imeanza kutekeleza mikakati ya maisha bora kwa kila mtanzania. Leo katika taarifa ya habari saa 2 usiku kupitia ITV, imeripotiwa kuwa Hospitali ya mkoa wa...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS...
SERIKALI imesema iko tayari kukaa meza moja na chama cha upinzani cha Chadema au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu mustakabali wa taifa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya...
GreaTthinkErs
Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi...
"ka nzi" kanakozunguka kwenye ofisi mbalimbali za serikali kamerudi na uchafu mwingine. Uchafu huu unadaiwa kuwa uko kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi ambayo ndiyo chombo ambacho Watanzania...
kuna wadau wameanza kampeni "PETITION" ya kuzitaka nchi wafadhili kukata misaada kwa Tanzania kwa sabau za kifisadi za serikali ya kikwete. Mnaomba kusaini hiyo petition ili hawa mafisadi washike...