mkibunga
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 196
- 25
Salaam waungwana toka kwa Madiba! Bila shaka hamjambo! Nilipo hapa nafikiria huko nyumbani kinachoendelea na wakati huu ambapo mbayuwayu yuko Ubelgiji sipati picha pale ambapo waziri mkuu angekuwa rafiki yake Mkulo na waziri wa fedha mama mkwe wake Meghji!
Nchi yetu hii, mmmmh! Ndiyo, kwa kuwa kuna habari kuwa Mkulo ndo angekuwa waziri mkubwa na mama mkwe angekuwa waziri wa fedha...laiti kama si UwT kuingilia kati na mtoto wa mkulima ambaye tayari alikuwa keshaondoa vifaa vyake ofisini (sina hakika kama angefanya kama Waziri Masha kwa kuondoa mpaka picha za rais kwa madai kuwa kavinunua yeye) sijui hali ingekuwaje...Dah! Hivi nchi inaongozwa kama nyumba ya familia na marafiki? Aaaagh!
Ni hayo tu waungwana, ila kiukweli nawakaribisha tupate walau WINE toka ktk Table Mountain city, Cape Town!
Posted by Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! at 11:57 PM