Huyu Dr Hosea wa TAKUKURU ni nani hasa?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Jamani kuna mtu huyu ambaye amekuwa akipamba sana vichwa vya habari katika media za hapa nchini. Mara Richmond, mara anamsafisha Chenge na mara anawachunguza wabunge. Kila siku anakuja na jipya. Ni nani huyu? Mwenye CV yake tunaiomba aiweke jamvini
 
Back
Top Bottom