sijui lini itakua mwisho wa kuibiwa!!

LESSI

New Member
Dec 4, 2010
4
0
Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008 tuliibiwa kiasi gani!! Namuomba magufuli achukue fomu ya urais 2015!!!
 
Magufuli is a man of actions!lakini ndani ya ccm ni ngumu watamdhuru!
 
Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008 tuliibiwa kiasi gani!! Namuomba magufuli achukue fomu ya urais 2015!!!

Is he worthy of trust and credit you are giving him????

May be not under this very same system. Something, and not a person, need to be changed here. If we change people and that "something" not one will change this country.

You need to ask yourself one question to understnad what i mean here; Is there any of the past president who was trusted (before entering into office) than Kikwete that if he is in office can do great things??? Where did he take us??
 
Hata kama magufuli kakutuma hapa, vuta pumzi basi usome yaliyoandikwa Hapa tayari kuhusu magufuli ili usije kutumia hili jamvi kummaliza kama ilivyomtokea zitto. Hii ndiyo post yako ya kwanza na unaingia kumnadi magufuli
 
hata kama magufuli kakutuma hapa, vuta pumzi basi usome yaliyoandikwa hapa tayari kuhusu magufuli ili usije kutumia hili jamvi kummaliza kama ilivyomtokea zitto. Hii ndiyo post yako ya kwanza na unaingia kumnadi magufuli

if u think and believe that im advocating for magufuli or pombe whatever the name u might call, then u r under reasonable but uncertain state of analysing the contents of intellectual texture. Besides, im not politician to argue politics! Sorry.
 
Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008 tuliibiwa kiasi gani!! Namuomba magufuli achukue fomu ya urais 2015!!!

mwisho wa kuibiwa itakuwa siku utakapogundua kuwa unaibiwa.
 
Back
Top Bottom