Kwanini kamishna wa kusaini hati za viwanja ni mmoja tu Dar?


N

NgomaNgumu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
193
Likes
2
Points
0
N

NgomaNgumu

Senior Member
Joined Nov 20, 2010
193 2 0
Ktk ufuatiaji wa hati za nyumba imegundulika kua kamishna wa kusaini hati ni mmoja tu Dar sijui mikoa mingine inakuwaje. Mawazo yangu yananiambia kua hii si sawasawa kwani uwezekano wa kutokea mazingira ya rushwa unakua ni mkubwa sana pamoja na kuangalia mambo mengine kama vile process hiyo kuchukua muda mrefu kukamilika. Ni vyema suala hili likafikiria tena kwa ajili ya ufanisi zaidi hasa ukizingati kua tuko ktk karne ya 21.
 

Forum statistics

Threads 1,236,943
Members 475,327
Posts 29,273,906