Je viongozi mnaliona hili

Joined
Aug 5, 2008
Messages
53
Likes
1
Points
15

masoudmwevi

Member
Joined Aug 5, 2008
53 1 15
HABARI ZENU WANA JF
Nimeonelea leo tujadili hili suala je watunga sera hawalioni kama ni kitega uchumi kwa wenzetu toka Bukoba hasa maeneo ya Nyamkazi especially maeneo ya Nyanshenye secondary school?
Je,nini wanawasaidia wananchi hao?
Lakini pia kuna suala la watoto wadogo sana chini ya umri wa miaka kumi na tano wanaonekana maeneo hayo usiku wa manane wakitafuta senene mbaya zaidi hakuna cha senene wala nini bali ni vitendo vya uasherati mtupu ndivyovinaendelea huko kiasi kwamba wapiti njia wakati wa mchana ni kero kukuta KONDOMU zimezagaa chini tena zikiwa hata hazijafunguliwa.
Je,nikweli haiwezekani kuweka sera ya kupadhibiti pawe sehemu maalum kwa wavuna senene na kuwanusuru watoto wale wajipatie muda wakupumzika majumbani
Na je ni kwanini wazazi wanawaruhusu wanawao kwenda huko usiku
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,203,554
Members 456,824
Posts 28,118,529