Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lakini CCM si wasafi hata kidogo. Kila mtu anajua. Mara Zito, mara Shibuda, mara Mbowe, mara Slaa, mara Josephine, mara sijui nini. Upotoshaji ni upotoshaji tu, hata upakwe rangi vipi. We...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtambo uilopo karibu na nguzo namba moja zinazo peleka umeme wa 132kv umelipuka jana asubuhi na kusababisha dsm kukosa umeme . Badra masoud alisema dsm iliathirika kutokana na kulipuka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fellow JF memebers, please enlighten me where possible: Upon Zitto's suspension from Parliamentary sessions, that time when he became a hero, this guys flew to Dar es Salaam and proceeded all the...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wa tz, amkeni tudai katiba mpya. Bila katiba tusitegemee mabadiliko yoyote ktk chaguzi zetu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi!
Habari zenu wataalamu?ndugu zangu nimekua najiuliza maswali bila majibu,kwa kifupi ni kwamba mwalim nyerere ni roll model wangu na pia alikua anaona mbali sana,amepata sifa kubwa na heshima kubwa...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Wakati Dr. Slaa na Mbowe bado wakiwa na msimamo wa kutomtambua Rais Kikwete kama mshindi halali. Kamati iliyoundwa kumsikiliza Zitto Kabwe imetoa msimamo kwa niaba ya kamati kuu ya chadema kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tajiri wa kiatabu ambaye ni brigadia mstaafu wa jeshi la omani bw suleiman mohammed yahya al andwi alisema alishawishiwa kuja tz na rostam azizi. Tajiri huyu alikuwa na hisa vodacom akiwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mnyika ajitolea mshahara wake Send to a friend Sunday, 12 December 2010 21:14 0diggsdigg Geofrey Nyang’oro MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, ametoa asilimia 40 ya mshahara wake kwa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015. sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato. hii inatokana na watu wawili...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Napenda kuwapongeza star TV kwa ubunifu walionao kwa kupenda kuweka vipindi vizuri na vinavyoleta tija katika taifa letu. Jana kulikuwa na kipindi kizuri sana kuhusu mjadala wa KATIBA MPYA. Me...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nileongea na padri mmoja huko Sumbawanga kuhusu suala la waamini waliotengwa. Alinieleza kosa lililofanywa na waamini hao lilikuwa kushabikia suala la Utatu Mtakatifu kutumika katika kufananisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi na wataaalamu . Wanasiasa, wanasheria na watu wengi hivi sasa kilio chetu ni katiba mpya. Wengi tuna refelct mapungufu ya NEC kama pungufu mojawapo la katiba ya sasa.Naomba kuelimishwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
CHADEMA yaiponza CCM na Christopher Nyenyembe, Mbeya USHINDI mkubwa na wa kimbunga uliolikumba jimbo la Mbeya Mjini na kupoteza kiti cha ubunge na viti vingi vya udiwani vilivyokuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamii, What areas to consider when doing a 'self apraisal' katika kazi tofauti tufanyazo, Najua huu ni ulingo wa great thinkers hivyo naomba tubadilishane UZOEFU katika hili. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Hii serikali ya mseto ya aina yake ya Ivory Coast imechelewa sana kuja. Ulikuwa uwe mfano mzuri sana wa kuigwa na Tanzania, kwa kuwa sisi ni mahiri kwa hilo. Kama tulivyoweka serekali ya mseto...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kwa kweli kila nikijaribu kujiuliza hii sera ya udiwani wa viti maalum nashindwa kuelewa mchango wake ni nini, ukizingatia kila jimbo linatoa madiwani wa viti maalum ambao sio chini ya kumi. hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa kama mtanzania wa kawaida ambae ninaipenda nchi yangu,sina budi nikitoa maoni yangu. Nimejaribu kufatilia sana siasa za Tanzania tokea uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 kipindi cha...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wameanza kazi kwa kishindo ikiwa ni pamoja na kupokea maombi ya wananchi wanaotaka Katiba mpya. Wabunge hao: Mchungaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Nimesikitishwa sana na habari kuwa jumba la sanaa limehamishwa ili kupisha ujenzi wa gorofa ya kigogo mmoja ambaye alishawahi kuwa waziri mkuu. Jumba hili ni la muhimu sana na lipo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale wafuatiliaji na ambao wangependa kujua kuhusu hii kesi, Itaanza kusikilizwa february 3, 2011 katika mahakama kuu hapa Dar es Salaam. Taarifa hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…