charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Mambo muhimu ya chadema kujifunza kwa haraka
Ushauri wa bure kwa CDM:
-Zitto ni world player, wamuheshimu tena wamuombe radhi.
-Wawe makini na MBOWE, huenda akawa shushushu (pandikizi la serikali)
-Wabunge wake wasitafute sifa kwenye magazeti, duniani hakuna mbunge anayetoa pesa yake ya mshahara. Mnyika anaandaa mazingira ya ufisadi. Inabidi CDM imkanye haraka sana.
-CDM Hatuna uwezo wa kuendesha upinzani bungeni peke yetu. Ni lazima kuwashirikisha CUF, NCCR, TLP, UDP. Vinginevyo waTZ hawatatuelewa.
-Halafu ukweli ni kwamba CCM ilitushinda kwa halali, tusitumie hoja ya kuchakachua kutafuta support ya nchi za magharibi. Wazungu sio wajinga kiasi hicho. CDM ijipange ifanye kazi. KIKWETE alishinda.
-UDINI pia utatumaliza kama hatutakuwa stable kama CUF. CUF wameonyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Ni muhimu kwa CDM kujifunza na kutafuta uzoefu kwa wakongwe kama MAALIM SEIF, Prof Lipumba, HAMAD RASHID na A.L MREMA.
Mimi ni mtetezi wa wanyonge (charityboy)