Kura zilizoibiwa ni za nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura zilizoibiwa ni za nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TIMING, Dec 14, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  Wakuu....

  Kuna swali linanitatiza sana mimi kama mpiga kura... naamini kabisa si kama kuna kura iliyobiwa basi ni yangu au yako

  Au mimi ni chama?
   
 2. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,484
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kura zilizoibwa ni zetu tuliopiga kura; wewe, mimi na wengine.
   
Loading...