TUWE makini sana sasa, kwani Hata Uhalifu mitaani ukitokea, tutaambiwa CHADEMA hao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUWE makini sana sasa, kwani Hata Uhalifu mitaani ukitokea, tutaambiwa CHADEMA hao.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LGMJAMII, Dec 14, 2010.

 1. L

  LGMJAMII Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana usiku nilistuka sana wakati nilipokuwa naangalia kipindi cha habari caha usiku TBC 1, kuna habari moja ilikuwa ya kusikitisha ya mauaji iliyotekea Vunjo moshi. Wanahabari walielezea kwa Msisitizo kuwa yale mauaji ya familia ya Mwenyeketi wa kijiji waliochomwa moto ndani ya nyumba yalikuwa ni ya kisiasa, na baadae nikaja kusikia tetesi kuwa eti ni Chadema ndio waliofanya hayo mauaji ambayo kwa kweli yanatakiwa yaalaniwe na kukemewa.


  Lakini LEO ASUBUHI nilikuja kufarijika baada ya MBUNGE wa Vunjo Kuhojiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa mKoa Kilimanjaro, wote walisema hao wanaotuhumiwa kufanya hayo mauaji ni wanakijiji ambao walikuwa hawapendi Kazi na Juhudi nzuri ya Mwenyekiti huyo aliyokuwa anaifanya, ya kupingana na biashara haramu, pombe haramu, wizi, uhalifuÂ…na KUMBE na SIO CHADEMA kama vile awali ilivyoanza kutawanywa na kuenezwa na watu pamoja na baadhi ya vyombo vya habari.


  Kwali tuwe makini sana TUSIJE SIKU mtaani kwako ukavamiwa na vibaka, majambazi ukaja kusikia kuwa hao ni CHADEMA tu.  Ikiwa hivi HATUTAFIKA Tutabakia kwenye KUUNDA MAJUNGU na KUSAHAU Mbinu gani zitumike TUJIKOMBOE na UMASKINI na TUPIGE maendeleo ya NCHI YETU.
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,395
  Likes Received: 3,719
  Trophy Points: 280
  Akina Malaria Sugu na Dar wapo wengi................. wao huwa hawaangalii nani kafanya..........BALI ............... nani anamchukia wamrushie zigo la kinyesi
   
 3. M

  Mkuki JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 363
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sisi watanzania hatujafikia huko tunapendana licha ya matatizo madogomadogo yanayojitokeza
   
Loading...