Mrema karudi na Sungusungu yake

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,274
47,339
headline_bullet.jpg
Nyumba ya mwenyekiti yachomwa
headline_bullet.jpg
Mke wake na mtoto wafia ndani
headline_bullet.jpg
Ni uasi kupinga Operesheni ya Mrema

Operesheni ya kusaka wahalifu iliyoanzishwa na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, jimboni mwake imeibua uasi mkubwa baada ya kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu sugu kijijini humo kuchoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji cha Kiraracha Kata ya Marangu Magharibi Wilaya ya Moshi, Andrew Anselim Lekule (50).
 
Back
Top Bottom