Utabiri wa Tendwa ulitimia? Ni katika uchaguzi mkuu 2010


Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Messages
2,262
Likes
264
Points
180

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2010
2,262 264 180
WanaJF, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Tendwa ambaye ni msajili wa vyama vya siasa alitabiri kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu, vyama vya upinzani vitapata viti vingi vya ubunge, jambo ambalo tabibu wa CCM, Makamba alikanusha kwa kumwita tendwa mopokaji na mtu asiyejua anachokiongea. Mara baada ya uchaguzi kuisha, tumeona jinsi wagombea ubunge wengi wa upinzani walivyojitwalia majimbo mengi pamoja na hila za CCM kuiba kura. Sasa hapo nani aliropoka? Makamba au Tendwa? Kwa utabiri huu, tumfananishe Tendwa na Sheikh Yahya Husseni? Nawasilisha!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,203,874
Members 457,010
Posts 28,132,843