Al-Nuur na CUF wana agenda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al-Nuur na CUF wana agenda gani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mpuuzi, Aug 20, 2010.

 1. mpuuzi

  mpuuzi Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde.
  1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji mabadiliko ambapo hata hivyo wanaamini kuwa Lipumba kutokana na weledi wake anao uwezo wa mabadiliko.

  2. Slaa atakwepaje usia wa POPE LEO XIII kwa maana eti pope huyo alitoa amri kwa wakatoliki kupiga kura kwa maslahi ya UKATOLIKI.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Weledi watakuomba source ya habari hizi!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  what???????........ what is lipumba....yeye kazi yakle kusindikiza tu
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  bora aachane na siasa aende kuwa imamu kule jang'ombe amtumikie akubar
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Gazeti la An Nur toleo la leo lina front page headline inayosomeka "Lipumba afunika msafara wa CCM."[/FONT]

  [FONT=&quot]Tatizo langu hapa halipo katika ukweli au la wa headline hiyo kutokana na hali halisi iliyojitokeza wakati wa uchukuaji wa fomu – tatizo langu ni kwamba vipi hili gazeti la dini ya Kiisilamu linajiingiza katika ushabiki wa kisiasa kwa upande wa CUF? [/FONT]

  [FONT=&quot]Nasema hivi kwa sababu sijawahi hata siku moja kuona gazeti hilo likiandika habari kuu za mbele ambazo ni positive kuhusu vyama vingine vya kisiasa isipokuwa za CUF tu. Inakuwaje hapa? Gazeti hilo haliwezi tu kuwa friendly kwa CUF bila sababu ya msingi.[/FONT]

  [FONT=&quot]Kweli hiyo tuhuma za siku zote kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu ni za uzushi?[/FONT]
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Msisome hayo magazeti yanawacorrupt akili !
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  wameeahidiwa mahakama ya kadhi na oic....mbona hilo siyo swali ni jibu tosha??/
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  watu tunatoka humo na wewe tena unaturudisha huko... we haya we!
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  mi wananiuzi hawa jamaa................utasikia sasahivi maandamano
   
 10. dkims

  dkims Senior Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mmiliki wake nani????????
  kama ni CUF or potential member wa CUFkuandika hizo habari sio swala la udini ni mapenzi ya kichamai, maana hata siku moja sijaona UHURU or RAI or ... yakiandika mazuri ya upinzani zaidi ya CCM tu.
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mchungaji utahitaji source ya nini tena hapa? Nenda meza za magazeti utaliona tu. Tena kuna ka paragraph sijui aliyekuwa anakasoma na kukatafsiri alikuwa amelewa tende? Kameandikwa hivi:-

  Title: SLAA ATAKWEPAJE USIA WA POPE XIII?
  Content:" ........... it is always urgent indeed the chef preoccupation to think best how to serve the interest of Catholicism. In any election he went on Catholics are obligated to votefor those who pledged themselves to the Catholic cause and never prefer to them anyone hostile to (Catholic) religion which is the only true religion" Page 150 VICARS OF CHRIST

  Hawa watu Udini unawafanya wazidi kuwa nyuma kimaendeleo
   
 12. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tatizo lilopo kwa watu wengi ni kwamba hawawezi kuitofautisha dini na vyombo hivi vya habari. Hata siku moja uislamu Tanzania haukuwahi kukitambulisha chombo hiki kama mali ya waislamu. Wamiliki nao wanayatafuta maslahi katika dunia hii. Chonde chonde liwekeni mbali gazeti hili na uislamu.
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yawezekana ni kweli, lakini kumbuka huwezi kununua mafuta ya taa harafu ukabebea kwenye mfuko wa gunia
   
 14. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Wengine ni wakupuuzwa tu...mpuuzi!
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :A S-danger::A S-danger:mbona umekuwa mkali sana mkuu???
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umerusha mawe Ikulu!
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  haaa! kumbe!
   
 18. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CUF ishinde? Wapi? Zanzibar au Tanzania Bara? Kama ni Bara labda kwa Jambia! Namheshimu sana Prof. Lipumba kwa kumjua kama mwalimu wangu lakini he is in the wrong company. Al Hudda ni trash tupu.
   
 19. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mhariri wa gazeti hilo ni ndg. MS
   
 20. dkims

  dkims Senior Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35


  ndo tushazoea hivyo, ndo maana kanisa na miskiti inatoa miongozo ya uchaguzi wakati kazi ya wanasiasa!kila mtu anaangalia wapi kuna maslahi ndo unaegemea
   
Loading...