Who is Said Amour Arfi


Paul S.S

Verified User
Joined
Aug 27, 2009
Messages
5,931
Likes
293
Points
180

Paul S.S

Verified User
Joined Aug 27, 2009
5,931 293 180
Wadau baada ya kufuatilia kwa karibu kabisa elimu ya mwenyeki wa cdm mbowe bila mafanikio, ningependa kujua cv ya makamo wake bara mh arfi hasa upande wa elimu ili kuondoa dhana kuwa cdm inaongozwa na vilaza
kwa roho safi nawasilisha
 

Kishili

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
294
Likes
3
Points
35

Kishili

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
294 3 35
Ukiweza kueleza CV ya Zuma yule rais wa nchi yenyeuchumi imara zaidi kusini mwa jangwa la sahara au ukiweza kuandika CV ya WC waziri mkuu maarufu kuliko wote walowahitokea uingereza ndipo umuhimu wa CV za viongozi wa CHADEMA UTAPOONEKANA. usiandike kujidhalilisha kuwa nawe ni kilaza kwa kutojua historia ya siasa na wansiasa mahili duniani au kujionyesha tu kuwa nawe umepata kaelimu ka chuo kikuu majuzi hivyo unaanza kujipma na watu! Kama elimu ni muhimu kuliko kila kitu kwenye siasa kati ya Lowasa na Kawawa nani atakumbukwa kuwa waziri mkuu aliyetumikia nchi yake kwa uwezo mkubwa? Kwa upeo wako utasema Lowasa! Kasome
 

Paul S.S

Verified User
Joined
Aug 27, 2009
Messages
5,931
Likes
293
Points
180

Paul S.S

Verified User
Joined Aug 27, 2009
5,931 293 180
Kishili acha jazba ndugu yangu hayo ya zuma na pm wa uk yanaingiaje hapa?.
Mimi nipo siriazi nataka kujua tu, na nadhani hamna ubaya wowote
 

Shinto

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Messages
1,781
Likes
11
Points
0

Shinto

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2010
1,781 11 0
Ukiweza kueleza CV ya Zuma yule rais wa nchi yenyeuchumi imara zaidi kusini mwa jangwa la sahara au ukiweza kuandika CV ya WC waziri mkuu maarufu kuliko wote walowahitokea uingereza ndipo umuhimu wa CV za viongozi wa CHADEMA UTAPOONEKANA. usiandike kujidhalilisha kuwa nawe ni kilaza kwa kutojua historia ya siasa na wansiasa mahili duniani au kujionyesha tu kuwa nawe umepata kaelimu ka chuo kikuu majuzi hivyo unaanza kujipma na watu! Kama elimu ni muhimu kuliko kila kitu kwenye siasa kati ya Lowasa na Kawawa nani atakumbukwa kuwa waziri mkuu aliyetumikia nchi yake kwa uwezo mkubwa? Kwa upeo wako utasema Lowasa! Kasome
Kwenye hili ndipo ninapopata taabu kuwaelewa wana chadema. Wanauliziwa Mbowe na Arfi elimu zao mnakuwa wakali na kuhalalisha ukilaza kwa mfano wa zuma. Akitajwa Slaa mnaweka Dr (PHD) kuonyesha kama ni Dr wa kusoma sio wa heshima! Huu ni unafiki, kama elimu ni kigezo kwenu basi viongozi woote elimu zao zijulikane, kama si kigezo kwanini musifie Dr (PHD) ingawa hamsemi PHD yenyewe ni ya taaluma gani!
 

Paul S.S

Verified User
Joined
Aug 27, 2009
Messages
5,931
Likes
293
Points
180

Paul S.S

Verified User
Joined Aug 27, 2009
5,931 293 180
Tueleze unataka ujue ili iweje? What's the motive behind? Just be open!
Mkuu Arfi ni mtu mkubwa, maarufu na muhimu nchi hii, nimeulizia nijue elimu ya makamu mwenyekiti wangu thats all.
mbona humu watu wameulizia na wakaambiwa elimu za kama makamba wakaenda hadi alibaka. humh wanajua hadi pass za jk A level, humu wanajua hadi elimu vihio za mawaziri kibao na vyou vyao walivyosoma na wamiliki wa hivyo vyuo na kama vipo akreditedi au la,wa cv za akina kamata. komba, nk
So why not Arfi?
JF kisima cha elimu bwana ngoja tusubiri jibu
 

Paul S.S

Verified User
Joined
Aug 27, 2009
Messages
5,931
Likes
293
Points
180

Paul S.S

Verified User
Joined Aug 27, 2009
5,931 293 180
JF siku hizi imekuwa kijiwe cha kahawa, si jukwaa la watu wenye fikra pevu tena.
Nakubaliana na wewe mia kwa mia, hebu fikiria magreat thinkers wote humu wameshindwa kujibu swali dogo tu kama hili.
Chakushangaza hebu uliza viky kamata ni nani utapewa full data kuanzia alikozaliwa hadi alikolala jana usiku
 

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
1,914
Likes
362
Points
180

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
1,914 362 180
Msiulize kutaka kuchallenge mtu.Angalia kazi zake zinaendana na kiwano cha elimu unayoitaka?Katika nchi hii bado sijaona umaana mkubwa wa mtu kuwa na digrii wakati matendo yake hayaendani na elimu yake.wapo wengi wamesoma kwa kukariri tu na kupass mitihani lakin practically hawana kitu.Vyuoni humu tunaona wengi wanapita kwa kununua mitihani.Usimwamini mtu na digrii yake tazama kazi zake.Elimu si cheti ni uwezo.
 

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,375
Likes
3,962
Points
280

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,375 3,962 280
Arfi ni mmoja kati ya viongozi waandamizi WAISLAM wa CHADEMA, viongozi wengine waislam ni Zitto na Makamu mwenyekiti wa Bara.
Kidogo wewe umejitahidi ebu wengine wanaojua vyema CV ya Said Amour Arfi hasa elimu yake na uzoefu wake katika masuala ya siasa na nje ya siasa.Kujua CV za viongozi wetu si dhambi hata kidogo hawa ni public figure lazima kila kitu kuhusu maisha yao kijulikane vizuri.Ipo siku Mheshimiwa Said Amour atakuja kuwa mwenyekiti au waziri wetu iweje CV yake iwe kero kwa baadhi ya wanajamvi.

Ikitokea mtu akauliza CV ya Mbatia mwenyekiti wa NCCR Mageuzi au CV ya A Lyatonga Mrema mwenyekiti wa TLP au CV ya Lipumba nina hakikia zingemiminwa data mpaka tungeshangaa.Tuache upuuzi tuwe huru kuwajadili viongozi au watu maarafu katika jamii bila kuingiza ushabiki wa kisiasa.Ipo thread ilikuwa ikitaka CV za wabunge wa CHADEMA muuliza swali hakupata jibu hadi post ya 30,sana sana alikumbana na majibu ya kebehi na maelezo ya yasiyokuwa na uhusiano wa swali alilouliza.

Mkuu Paulss kauliza CV ya Mheshimiwa Said Amour Arfi kama unajua unamwaga maelezo hujua kaa kimya msitake kutuburuza au kutufanya wajinga post ya #14 hakuna majibu bali viroja.
 

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
675
Likes
3
Points
0

Mtabe

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
675 3 0
Ndio chadema walioweka vigezo vya ubunge wa viti maalum vya wanawake eti mtu akiwa na phd maksi 10, master maksi 8, degree maksi 6 etc form 4 maks zero lkn leo hii wanaona elimu si muhimu tena ktk uongozi. Wanafiki wakubwa hawa. Kwa tabia hii ya kukataa ukweli watanganyika mtaendelea kudhalilika na ccm maisha. Kazi mnayo.
 

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
1,746
Likes
128
Points
160

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
1,746 128 160
Chadema toeni cv ya arf , ingawa mwenye maamuzi ya mwisho kuhusu cv yake kama alifaa kuwa mbunge au vipi ni waliompa kura na siyo chadema
 

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Likes
6
Points
0

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 6 0
Nasisitiza na mimi, tuwekeeni CV ya Arf (vice chairman) na Freeman (chairman).
kwa wale wasiojua kuhusu viongozi wengine,
slaa, peter willbroad (katibu)-phd, theology (amebobea kwenye ukristo)
zito, kabwe zuberi (vice katibu)-master ya uchumi na kama sikosei phd candidate kwenye uchumi.
 

Forum statistics

Threads 1,203,977
Members 457,048
Posts 28,136,708