Hivi CUF itasimamisha Mgombea Urais Zanzibar 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CUF itasimamisha Mgombea Urais Zanzibar 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maishamapya, Dec 14, 2010.

 1. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nifuatilia sana mijadala ya baadhi ya wanaJF kuhusu hatima ya Chadema na upinzani kwa ujumla. Wako ambao wamekuwa wakiona kuwa CDM itaanguka na hasa baada ya kukataa kuwashirikisha Cuf na vyama vingine.

  Kwa kutafakari yote haya imebidi nijiulize: Hivi sasa hivi Znz kuna kambi ya upinzani? Si cuf ni sehemu ya serikali ya sasa? Watawezaje kuinyooshea kidole CCM juu ya mapooza yake wakati wao pia ni sehemu ya serikali hiyo? Hivi mwaka 2015, Cuf watasimamisha mgombea huko visiwani? Je, atakuwa mgombea wa cuf au ...? Ni lipi jipya ambalo mgomea wa cuf atawaambia wanzanzibari kuwa atalifanya ambalo serikali aliyoshiriki haikulifanya? Je, atathubutu kusema ni kwa vile haikuwa cuf?

  Nionavyo mimi Cuf si chama cha upinzani kwa sasa bali ni sehemu ya utawala wa CCM. Tunachosubiri sasa ni kuona muunganiko wa sera za vyama hivi viwili. Na ninapata shida sana kufikiri namna gani wanaweza kusimamisha mgombea 2015. Chama pekee cha upinzani kilichobaki Tanzania ni CHADEMA.

  Nipeni hoja zenu wanaJF
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Maybe wata simamisha. Akishindwa ana pewa umakamu wa raisi.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hv Hamad rashid naye ni memba wa jF?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ?????????:faint:????????????
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  'Aaah, mmmh! Tutasimamisha mgombea wetu makini, tutasema wenzetu walituburuza na hawakutaka kusikiliza mipango yetu. Sawa sawa!?
  Pili tulipokuwa ndani ya serikali tumegundua uzembe mwingi mno, Sawa sawa?
  Tupeni nafasi ya kuwa juu yao tuwaonyesheni kazi, ila mkipenda warudisheni hao hao, twatawala wote na..........
   
Loading...