Kwa Nini Upinzani Tanzania umegawanyika?


MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
3,822
Likes
33
Points
0

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
3,822 33 0
Kuanzia 1995, kumekuwa na juhudi zisizozaa matunda za vyama vya upinzani kuwacha tafauti zao na kuungana. Ki mtazamo wangu, kuna mirengo miwili mikuu ya kisiasa: Mrengo wa kulia unaowakilisha mabepari na wa kushoto unaowakilisha wajamaa. Badaye kila mrengo unaweza kuwa na siasa za wastani na siaza za kihafidhina. Maswali yanayonitatiza ni haya:
1. Kuna mirengo mingapi ya kiitikadi za kisiasa Tanzania?
2. Kwa nini tuna utitiri wa vyama na vinafuata mirengo gani?
3. Nini malengo ya vyama hivi?

Naomba tulijadili hasa kuainisha mwelekeo wa kisiasa wa kila chama na malengo yake kwa wananchi.
 

Forum statistics

Threads 1,204,491
Members 457,348
Posts 28,160,698