Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hatua ya kushangaza kabisa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji ameahirisha uchaguzi wa Meya. Katika Halmashauri hii CHADEMA ina madiwani wengi zaidi ya CCM na nafasi ya Meya na Naibu...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Hivi kweli tunatimiza miaka 50 tangu tupate uhuru hatuna umeme. hii ni aibu kubwa kwa taifa. Nijuavyo Tanzania inaruhusu haya mambo ya Independent Power Production ndio maana tulikuwa na jamaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuwa kuna mgawanyiko mkubwa kati ya madiwani wenye asili ya mji huu na wasio na asili na mji huu kiasi cha kwamba shutma mbali mbali zinatuptwa kuanzia za rushwa mpaka hizo za toka kwa wenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Katiba haiwezi kubadilishwa ikiwa mhusika mmoja hayupo,ni lazima wadau wote wawepo ili mabadiliko ya Katiba yafanywe ,tunafahamu fika kuwa katiba iliyopo haifai kwa vigezo vingi tu kimoja ni hicho...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
•Yasema wakati wa NEC kuvunjwa umefika •Yataja dosari zilizojitokeza Uchaguzi Mkuu •Yaonya wanasiasa kuchanganya ahadi na haki •Yakosoa CCM kuingiza Kadhi kwenye Ilani Na John Daniel...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima yako Mzee, Awali ya wote ningependa ufahamu jinsi ninavyokupenda na kukuheshimu kama vile Maria Magdalena kwe Yesu. Kinachonifanya nikupende Mchungaji wa Kondoo za Bwana ni uadilifu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akizungumzia suala hili Mizengo Pinda amesema haja ipo ila bado haijaamua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo My Take Katiba itawekewa viraka ambavyo havitatatua mahitaji ya...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
PM Pinda anaonekana kuwa muwajibikaji ndani ya sirikali ye2. Amezungumzia swala zima la kubadili katiba na mchango wake ktk hili ni muhimu sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameamua kulibeba suala la madai ya katiba mpya, akisema kuwa atamshauri Rais Jakaya Kikwete kuunda timu ya kushughulikia suala hilo.Pinda alitangaza uamuzi huo jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu, Kama kuna wakati ambao umuhimu wa katiba mpya umedhihirika basi ni sasa. Kwa kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, watanzania walio wengi sasa wametambua kwamba kikwazo kikubwa cha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Katika idara ambazo hazibahatiki kuwa na watu wanaozifuatilia na kudhibiti utendaji wake hapa nchini ni idara muhimu zaidi kwa watu masikini, wanyonge na dhaifu katika jamii kuliko zote-Idara ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Siku chache zilizopita Waziri Kombani alitoa kauli isiyounga mkono kuhusu mabadiliko ya katiba, na kujitetea kuwa serikali haina pesa za kushughulikia mabadiliko ya katiba na kwamba suala la madai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JK AKIFANYA VITU VYAKE JUKKWANI.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna matumizxi mabaya ya Fedha zetu, PAYE zetu, kodi zetu, mirahaba yetu Jk anaendeleza Tour nje saivi ashenda Belgium,Egypt & Zambia sasa waziri wa mabo ya nje anafanya kazi gani??? Naona JK...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari nazopata toka mwanza ni kuwa kikao cha kumchagua meya wa mwanza kimevunjika baada ya kutokea purukushani kati ya madiwani wa ccm na chadema...more to come
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Mwandishi Wetu Mkakati wake wa kwanza ni kuivuruga UVCCM Akifanikiwa ataanza kupanga safu uongozi Wazazi, UWT Awaita Dar kimya kimya wenyeviti wa mikoa wa UVCCM WAZIRI katika...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna mtu ana taarifa zaidi kwenye kimbembe cha mayor kwenye mji wa Arusha? Najua kidogo kwamba kulitokea mvutano mkubwa kwenye kikao.
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Hi there, can we discuss the issue of ethnic groups in higher learning institutions and several organizations. Cku hizi kila mahali kuna chama cha kabila fulani. Hii c kwamba tunajigawa kimakabila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
It's Christmas! Time to make merry and share the joy with friends! “I wishing you all Merry Christmas”
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mengi tumeshasema kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya, lakini mawazo yetu ni ya mtu mmoja mmoja ingawa tunakuwa wengi pale tuanpochangia hoja. Ninachopendekeza kwa "Experts" wa mtandao huu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…