Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa...
0 Reactions
125 Replies
14K Views
Ndugu zangu, ninaomba kujua ma Rais wanaoheshimika sana Afrika (hata kama ni wastaafu); wa kwanza hadi wa mwisho. Wasioheshimka wasiandikwe hapa. Naomba tutoe na sababu za (michango yao au ubunifu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nikifuatilia tamthiliya ya 24 season 5 na kugundua maamuzi aliyokuwa anachukua logan ni sawa kabisa na haya anayochukua jk. Sijui coincidence ani hii jamani maana kwenye ishu muhimu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Idadi kubwa ya vyuo mbalimbali vikiwemo vya ufundi na ualimu vimejengwa na kanisa. Hospitali mbalimbali na zahanati zinaendeshwa na maaskofu. Miradi mbalimbali ya umeme vijijini imeanzishwa na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Hali ya kusikitisha ni kwamba mauaji yaliyotokea yanaonekana kama Serikali iliua sisimizi.Wakati wakazi wa Arusha wameomboleza leo,Viongezi wa juu wa Serikali wako Zanzibar wanakula kuku.Hii ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa hapa nchini kwetu, wasomi wengi hasa wanafunzi wa vyuo tumekuwa WAONGEJI wakubwa sana wa mambo ya siasa na sio WASHIRIKI.we are good in theory than practical.e.g...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Vyama vipo, viko huru. Vinaendesha shughuli zao. Wanapanda majukwaani, wanafanya maandamano, wanasema wanachosema. ............. "Mimi sijui mtu anaposema hakuna dhamira ya dhati ya demokrasia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajukwaa!! Nipo nafuatilia maadhimisho ya kumbukumbu za Mapinduzi ya Zanzibar!!! Ameingia Dr Salmin, lakini namuona ni dhaifu sana kiafya. Kutoka ktk gari hadi kufika ktk kiti chake...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimekuwa nikimfuatilia sana Maalim kabla na baada ya kuundwa kwa serikali ya mseto Zanzibar!! Kwa upande wangu naona kama hadhi na umaarufu wakw umepungua sana na ninadhani ni bora asingeingia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ndugu wana jamvi leo nilikuwa naangalia siku ya mapinduzi ya zanzibar na nikasikia myangazaji akielezea vizuri kabisa kwamba leo ni siku ya mapinduzi matukufu ya wazanzibari kutimiza miaka 47...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa...
0 Reactions
117 Replies
12K Views
Robert Nyanda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibadilishe sifa ya umri wa kupiga kura kutoka miaka 18 ya sasa na kuwa miaka 14 ili kutoa fursa kwa vijana wengi wenye umri huo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ninazoambatanisha hapa chini ni kuhusu mpango kamambe wa Kenya wa kujitosheleza kwa umeme. Neno kuu ni hili la kusema bonde la ufa, lina uwezo wa kutoa umeme wa MW 4000. Halafu project...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wajameni tuwe wajasiri kumwambia on the face kwamba aliiba kura yaani (Kikwete Mwizi) kama huyu Mh atakuja kwenye mazishi huko Arusha ni sharti azomewe kama ilivyotokea Mbeya! Na machungu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toka uchaguzi umepita na "rais" kupatikana, sijasikia salamu za pongezi kutoka kwa nchi rafiki kama ilivyozoeleka toka zamani, au vyombo vya habari Havitangazi
0 Reactions
44 Replies
4K Views
JK alidhani kumuingiza Samwel Sitta katika serikali yake labda itakuwa ni njia mojawapo ya kuponya majeraha na mpasuko ndani ya chama chake. Lakini mambo yameenda tofauti. Samwel Sitta amekuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wikileaks imetoa taarifa zinazomzuia Kibaki na genge lake la Mafisadi kutokuingia Marekani. Anayefuatia ni Fisadi Kikwete na Genge lake la majambazi. Habari Zaidi...Bofya Hapa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanza wamtaka Kikwete ajiuzulu na Mwandishi wetu, Mwanza CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwenye nyumba mkoani arusha awatimua polisi wawili waliokuwa wamepanga nyumbani kwake! Huu ni ushahidi wa hasira za wananchi kwa polisi na matendo yao! Polisi mmoja apigwa na raia alipooenda...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Back
Top Bottom