Usanii Wa Kikwete (Nukuu)

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
"Vyama vipo, viko huru. Vinaendesha shughuli zao. Wanapanda majukwaani, wanafanya maandamano, wanasema wanachosema. .............

"Mimi sijui mtu anaposema hakuna dhamira ya dhati ya demokrasia anamaanisha nini; maana unakuwa na chama cha siasa na kipo huru kumwaga sera zake"

Mkwere huyo wana-jamvi. (23 June 2007)

Changanya na zako!!!!



Source: Raia Mwema
 
Democracy is more than just the presence and establishment or proliferations of political parties.Democracy needs, freedom of expression and opinion, conduct of free and fair elections (Not fraudulent or rigged ones), participation of citizenry in running the government, (Not usiri katika mikataba ya madini na ugawaji hovyo wa rasilimali zetu kwa wageni bila wananchi kujua kinachoendelea), respect for the rule of laws.Those are the major pillars of democracy in a contemporary world, na kipimo kinafanya kwa kuyatazama hayo yote.Huwezi kutumia kigezo kimoja then ukajisifu kuwa unatekeleza democracy kwenye nchi yako.Nchi nyingi za kiafrika ikiwemo Tanzania zina practice kwa sehemu kubwa ambacho tunaweza kukiita pseudo-democracy, na kusema ukweli hakuna culture ya kuheshimu democracy ya kweli bali kuna caricuture of democracy.
 
Wawakilishi waliochaguliwa na wananchi watakutanaje na wananchi waliowachagua kama dola inaendelea kuwafyatulia magobole?
Sisiemu inataka baadaye iwageuzie kibao kwamba washindi wa vyama vya upinzani wameshindwa kuwajibika kumbe ni usanii wao kuwazuia wasiwajibike kwa wananchi.

Ona usanii mwingine vocha za mbolea ya ruzuku zinagawiwa maeneo ambayo sisiem wameshinda na maeneo ambayo wapinzani wameshinda wananyimwa kama huko Songea
 
We need de facto and not de jure democracy. It is not enough to proclaim that, there is democracy but rather it should be seen to be practiced
 
Back
Top Bottom