Polisi wafukuzwa kwenye nyumba waliyopanga na mwenye nyumba: Kisa? Mauaji ya raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wafukuzwa kwenye nyumba waliyopanga na mwenye nyumba: Kisa? Mauaji ya raia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Jan 9, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyumba mkoani arusha awatimua polisi wawili waliokuwa wamepanga nyumbani kwake! Huu ni ushahidi wa hasira za wananchi kwa polisi na matendo yao! Polisi mmoja apigwa na raia alipooenda kunywa supu kwenye barr! Hivi sasa polisi wanatembea kwa makundi Arusha!
   
 2. m

  mafinga kwetu Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  good,mshahara wa dhambi ni mauti..........
   
 3. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  msando, nashukuru kwa taarifa ingawa ni vigumu kuthibitisha
   
 4. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kesho nafuatilia kwa ukaribu zaidi! Na endapo watajitia kiherehere kwenda mahakamani nitamtetea mwenye nyumba bure! Ngoja nipate taarifa kamili! Hatua kama hizi ni muhimu kufikisha ujumbe wa kukerwa na vitendo vyao!!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  huu ni uzalendo tosha......mapinduzi daima
   
 6. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo pameanza kuwa patamu. kama walipewa kazi ya kulinda raia lakini sasa wanaua raia lazima wapate mshahara wanaoustahili
   
 7. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Wana JF tuangalie sana statement zetu hapa kwenye uwanja. Sidhani kabisa ni sawa kusema kwamba kila polisi ni guilty wa yale yaliyotokea Arusha, nadhani ni muda muafaka kuchambua kwamba ni nini role ya upolisi kwenye jamii yetu. Kwa sasa nadhani hili swala bado halija chambuliwa kwa kina na viongozi wa polisi na wakisiasa.
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  It is lamentable, that to be a good patriot one must become the enemy of the rest of mankind.
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bomba sana, mapambano mpaka mwisho.Polisi wetu wamesahau kwamba wengi wao wanakaa uraiani..?! Sasa ngoja waonje machungu ya mtaani na upolisi wao.
   
 10. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Nilianza na CCM sasa police, lifti kwangu wasahau
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni suala la solidarity tu. mbona wao walikuwa wanawapiga watu bila kuchambua kwamba nani ana makosa?
   
 12. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nakuelewa Mtanganyika, lakini, as long as the whole jeshi claim to have right and justification to kill and harm raia you cannot isolate individual officers. hoja yako ingetekelezeka kama jeshi la polisi lingeweza kuwa na freedom of opinion miongoni kwa kila polisi na kama ingewezekana polisi kutotii amri kutoka kwa mkubwa wake.
   
 13. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa wavuta sigara polisi akigongea hakuna kumpa fegi! Hakuna bia za bure tena wakija bar!! Kwani ni chadema wote wangevunja amani? Mbona walipiga watu wote? Hatutachagua vile vile
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,601
  Likes Received: 82,167
  Trophy Points: 280
  Safi sana! sasa wahamie kituo cha polisi.
   
 15. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Si wana mabanda yao ya bati,kwa nini wasiende kuishi huko??
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nao yu r tokingi!
   
 17. M

  Masauni JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msiwape ushirikiano hata katika kazi zao. Wanadhani wanaweza kufanya kazi bila ushirikiano na raia, wauaji wakubwa hao.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo adhabu inawafaa sana tu!
   
 19. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu si uzalendo, labda tunatakiwa tubadilke
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Polisi wanalipwa mishahara tokana na kodi zetu kwa nini wapate usafiri wa bure?
  Mabasi yote ruksa kudai nauli toka polisi kwanza hawajali uhai wa raia
   
Loading...