Kenya wanafanikisha, sisi tuna matatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya wanafanikisha, sisi tuna matatizo gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jan 12, 2011.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Habari ninazoambatanisha hapa chini ni kuhusu mpango kamambe wa Kenya wa kujitosheleza kwa umeme. Neno kuu ni hili la kusema bonde la ufa, lina uwezo wa kutoa umeme wa MW 4000.

  Halafu project walioanza 2009 ambayo itakamilika 2012, imeigharimu Kenya Dola za Marekani 450 milioni, kiwango ambacho ni sawa na fedha tulizozipoteza kwa mkataba wa Richmond - Dowans bila hata kuhesabu hasara ya kukosekana kwa uzalishaji mali.

  Sasa Kenya wamepewa ufadhili na benki ya Dunia kwa mpango mwingine wa umeme wa karibu dola bilioni moja na nusu, sisi tunabishana eti hatuhitaji kujenga Steigler gorge kisa umneme utakuwa mwingi sana!

  Kenya to Build Biggest Wind Farm in Africa

   
 2. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Habari ya Kenya kupewa msaada na Benki ya Dunia.

  World Bank Funds Kenya Green Energy Access

   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa wakenya mradi hewa unakuwa hewa kweli kweli na penye tangibility ni tangible kweli! Lakini kwetu sisi kila kitu lazima kiwe na harufu hewa!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata Project kama hiyo ikianza huwa watu wanawaza ni jinsi gani wataweza kubenift from it in terms of screwing up the project ili wapate hela kama tu Tanesco inatushinda kuendesha what do you expect on the other projects zinazohusiana na umeme its a big shame
   
 5. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  The finest, the whole Richmond Saga has cost us more than a billion dollar, being payments to Richmond Dowans and loss in revenue and productivity due to mgao wa umeme.
   
Loading...