Maalimu Seif ktk Serikali ya mseto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalimu Seif ktk Serikali ya mseto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Jan 12, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikimfuatilia sana Maalim kabla na baada ya kuundwa kwa serikali ya mseto Zanzibar!! Kwa upande wangu naona kama hadhi na umaarufu wakw umepungua sana na ninadhani ni bora asingeingia katika serikali na badala yake atumie muda wake mwingi katika kuimarisha chama chake. Na ninahisi iwapo ndoa hii ya CUF na CCM itaendelea, ushindi wa CUF mwaka 2015 itakuwa ni ndoto. Mnaonaje bandugu
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli na kelele zile zote na minyanyaso ya wananchi visiwani leo hii Maalim Seif hata kusema japo kaneno juu ya harakati za kutafuta katiba mpya, tume huru ya uchaguzi waa mauaji Arusha kama yalivyotokea Pemba!! Ama kweli hii kali sasa.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ushindi wa yeyote 2015 Zanzibar hautoathiri chochote kwani Serikali Mseto itaendelea.
   
 4. l

  limited JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyu mdudu wa mseto afica anatesa sana ina maana next election cuf ndio waongoze zanzbar na kenya odinga? na yule wa ivory coast nae ana taka mseto what a crap for african politicians!!!!!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyo maalim Seif ameishanyamazishwa kwahiyo hautomsikia tena hawezi kuongea chochote ameishaanza kuonja utamu wa madaraka mambo mengine ya wananchi hawezi kuyakumbuka
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Njaa mbaya
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tena sana ndio maana huwa wanasema adui yako muombee njaa
   
 8. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaganda huyo unacheza na LIMBWATA la CCM balaa tupu
   
 9. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hiyo kali na mpya
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kama zombe, kaumza mmeliona hilo basi cuf wanakufa kifo kibaya sana
   
 11. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Narubongo: Kwenye ukweli lazima tuseme ukweli. Binafsi huwa sifungwi na mapenzi.
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Seif Sharif kwa sasa sio vuvuzela tena. Ukifuatilia mwenendo wa ufanyaji kazi wake ni kuwa anakutana na mabalozi wa nje wanaotembelea Zanzibar, lakini pia hata anapofanya shughuli za chama Chake kama kufungua matawi basi ana ulinzi wa polisi sio kama zamani kukimbizana na Polisi.

  Sijui munazitizama siasa kivipi lakini CUF wana nafasi nzuri zaidi kama hali na mambo yataendea kuwa kama yalivyo sasa. Yaani kama CCM hawatocheza foul na kusabotage hapo siku za mbele.

  Anyway, ukweli kila mtu anaujuwa kuwa Dr, Shein ni rais wa kutangazwa na Tume, lakini Seif ni rais wa wananchi, wapiga kura na yumo mguu mmoja ndani, kwa hiyo anafanya siasa kwa nafasi zaidi bila kubughudhiwa na Jeshi la Polisi.
  Nafikiri kwa Seif kuacha kuwa Vuvuzela ni mbinu nzuri tu, kwa vile ana nafasi ya kufanya siasa kimya kimya!
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Lipumba alishaongelea hilo la mauaji ya Arusha. Kazi ya uvuvuzela inafanya na viongozi walio nje ya serikali. Na wale wa ndani wanafanya kazi kimya kimya. Siasa ni mbinu vile vile sio kufuata mkumbo tu!
   
Loading...