Wasomi wengi ni waongeaji na sio watu wa vitendo ktk siasa

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa hapa nchini kwetu, wasomi wengi hasa wanafunzi wa vyuo tumekuwa WAONGEJI wakubwa sana wa mambo ya siasa na sio WASHIRIKI.we are good in theory than practical.e.g maandamano ya Ar kwa jinsi nilivyojionea mwenyewe watu tuliokuwa pale asilimia 95 ni watu wa kipato cha chini ambao sio wasomi ndio waliochiriki mpk hatua ya mwisho.Wasomi waliokuwepo ni wachache sana.TUMEPATA NEEMA YA KUSOMA ILI TUKOMBOE WENZETU,SASA SISI TUNATAKA AMBAO HAWAKUPATA BAHATI YA KUSOMA NDIO WAKATUPIGANIE?TUBADILIKE TUACHE POROJO TUFANYE MATENDO
 
Status quo, middle class kila siku inadhani inaweza kupoteza nafasi yake, ndio maana yule mwanamapinduzi mashuhuri alikuja na slogan "we have nothing to loose but our chains".

Hapa kwetu Tanzania middle class inajiona imefungwa minyororo ya dhahabu hivyo they dont want to loose the "golden chains".
 
Sio wasomi wa Tanzania pekee bali dunia nzima! Hata hivyo tumeona wasomi wetu wa UDOM (Wahadhiri) wakionyesha makeke kidogo kwa kugoma!
 
Sio wasomi wa Tanzania pekee bali dunia nzima! Hata hivyo tumeona wasomi wetu wa UDOM (Wahadhiri) wakionyesha makeke kidogo kwa kugoma!

wale ni wasomi au wanazuoni? Mimi nadhani kwa hatua waliyonayo bado ni wanazuoni. Wasomi ni wale waliomaliza vyou na wanaofanya kazi na kuandika madokezo ya safari za mikoani bila kusafiri.
 
wale ni wasomi au wanazuoni? Mimi nadhani kwa hatua waliyonayo bado ni wanazuoni. Wasomi ni wale waliomaliza vyou na wanaofanya kazi na kuandika madokezo ya safari za mikoani bila kusafiri.
Kama hatutabadilika na kuwaunga mkono wapambanaji hatutayapata mabadiliko tunayoyataka. Hatakama sisi hatuwezi kuwa mstari wa mbele kwenye mapambano lakini lazima to play a role of strategist. Wanahitaji kupewa mwelekeo wa namana ya kupambana. Ni lazima tutoke mbele tujulikane kwamba tuko pamoja na watu hawa .
Nadhani wasomi wengi wanaogopa mabomu na maji washa,'lakini sasa hivi hakuna woga wa kuandamana tena kwa sababu machali wa arusha wametukomboa katika hili. jk na mwema hawana ubavu wa kuzuia maandamano ya amani tena.
 
Back
Top Bottom