Kibaki No To the USA....Kikwete Next.................

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wikileaks imetoa taarifa zinazomzuia Kibaki na genge lake la Mafisadi kutokuingia Marekani.
Anayefuatia ni Fisadi Kikwete na Genge lake la majambazi. Habari Zaidi...Bofya Hapa
 
Hi safi. Ila nina wasiwasi kama Kikwete watamzuia labda watamwambia tu mzee hali si shwari maana bado ni good boy
 
Jk akipigwa "stop" atachanganyikiwa vibaya kumbuka kwenye kampeni zake alikuwa akijisifia uhusiano wake wa karibu na Bush na Obama ndiyo chimbuko la misaada kwa nchi hii na ya kuwa bila misaada ahadi zake ni mfu..........................................
 
Muda utafika yale maji ya ruvu kufika sijui Tanga na wapi kule itakuaje, na Tanga kuwa jiji la viwanda huku Kigoma ikiwa Dubai ya Afrika, yangu macho.
Ivi akuahidi treni za umeme kweli? na Flyover kedekede? maana mkwere kwa kuropoka kiboko
 
Kibaki hana shida yoyote wakenya tushazoea vikwazo kama hivyi. Na sio geni kwetu. Miaka 20 iliyopita kenya ilinyimwa misaada tukajijengea uchumi imara bila misaada tena uchumi wetu ni watatu barani afrika, baada ya afrika kusini nigeria na misri ndo kenya. Hata hivyo tujifunze kwa ndugu zetu wa libya walinyimwa misaada na bado wakajimudu kiuchumi. But tz ikinyimwa misaada itakuwa kama zimbabwe. Itadorora vibaya mno.
 
MUNGU Ibariki tanganyika.

Dawa ya Kikwete ni maandamano nchi nzima hadi Ikulu, atakimbia. Amekuwa msanii na mnafiki kupita maelezo, kinachomkoroga siyo tu kuwakumbatia mafisadi, bali ni kuwaruhusu wakina vitambi mavi Ridhiwani, Miraji na Mama Salma kujiingiza kwenye uongozi wa kitaifa. Unakuta wakwere wamejikusanya ikulu wanacheza kiduku.....Mwaka huu watakoma, Hakuna Kula McDonals Marekani tena au kwenda kupiga picha na Boys II men
 
Muda utafika kwa maana alama za nyakati zii karibu ambapo Kikwete na timu yake watangolewa km jino bovu...
 
Code:
Wishful Thinking.

Wishful thinking, nyie mliokula hadi matumbo yatapasuka. Moi Yuko wapi? Kilaza kikwete naye njiani na timu yake ya Wakwere wakacheze kiduku Chalinze... Nyambaff zao.. Wakikataa tunaingia porini, jeshi la vijana li tayari
 
Back
Top Bottom