Nchi ipi ilimpongeza Kikwete kwa ushindi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi ipi ilimpongeza Kikwete kwa ushindi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Katavi, Jan 10, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Toka uchaguzi umepita na "rais" kupatikana, sijasikia salamu za pongezi kutoka kwa nchi rafiki kama ilivyozoeleka toka zamani, au vyombo vya habari Havitangazi
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Alipongezwa na nchi ya Visiwa vya Commoro tu maana alisaidia kumweka madarakani rais wake alipokuwa kwenye hatari ya kupinduliwa
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  Zanzibar.......
   
 4. H

  Hosida Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, tena ni kweli bwana. Unatukumbusha mbali sana enzi za mzee wetu Mkapa
   
 5. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,005
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Mweh..
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Usa
   
 7. ggg

  ggg Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bila kusahau zimbabwe, maana hao wote ndio walewale wazee wakutumia mabavu yao
   
 8. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mimi sina uhakika na hilo, ila kama hazikumiminika kweli, then naamini usemi usemao MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!!!!!!!!!!!!!!

  WAMEONA UCHAKACHUAJI!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Hata huyu wa sasa wakati wa awamu ya kwanza zilimiminika na taarifa zilikuwa zinatolewa!
   
 10. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,809
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  lran, iraq, Libya Oman na nyingine kibao za kiislam
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Hakushinda ndio maana hakupongezwa....hata wale wanao desa mitihani huwa hawa jisikii kupongezwa hata wapate 100%
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  vipi tena madam, labda ni kweli walimpongeza kwa ukarimu aliowatendea!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Ahahahahahaaaah!!
   
 14. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ivory cost
   
 15. n

  nhassall Senior Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  alishindwa ndo maana hawakutaka hata kumpongeza
   
 16. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bagamoyo.
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  kumbe walewale.
   
 18. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  kenya.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  ........Uganda, Burundi Na Rwanda nao vipi hawakumpongeza???
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mnamwonea jk wa watu mbona alipongezwa na nchi nyingi sana!! Ninazokumbuka kwa uchache ni Afghanistan, pakistan, iran, jordan, oman, misri, ivory coast, libya, moroco, tunisia, djibuti, somalia, mali, comoro, madagasca, zimbabwe, saudi arabia, kuwait, uturuki, palestine, uzebekstan, n.k. Jk anafahamika bwana siyo utani!!!
   
Loading...