kama Kikwete anahudhuria mazishi sharti kuzomewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama Kikwete anahudhuria mazishi sharti kuzomewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Jan 12, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,095
  Likes Received: 4,044
  Trophy Points: 280
  Wajameni tuwe wajasiri kumwambia on the face kwamba aliiba kura yaani (Kikwete Mwizi) kama huyu Mh atakuja kwenye mazishi huko Arusha ni sharti azomewe kama ilivyotokea Mbeya! Na machungu ya Dowans pia yatajwe!
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hawezi kuhudhuria mazishi ya wanaharakati.
  Yeye atahudhuria Ngoma huko kwao msoga au kuhudhuria mazishi ya washkaji zake wa Saiggon pale makutano ya Narung'ombe na Sikukuu...
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  hawezi kuja wazee labda kama intelijensia zao hazifanyi kazi
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Thubutu, cowards hao, ndio maana wanaiba kura na kutumia nguvu ya dola....hawezi kuja, aje kufanya nini na anafahamu kuwa akija ataonja joto la jiwe...watu wamechoka na saa hizi tuna majonzi makuu...bora ake huko huko for his own good and for the good of others....maana angeharibu hali ya hewa hapo na mashujaa wetu wasingeagwa inavyotakiwa...alete vagi ili attention ihame? No way!!!!
   
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alikuwa na Dr. mwenzake za Zanzibar wanasherekea Mapinduzi ya wazanzibari ambao walikombolewa na John Gideon Okello Mkenya.
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hawezi kuhudhuria coz muda mwingi anapenda kwenda kuhudhuria ngoma wanzomcheza mwalikwao msoga?
   
Loading...