Samwel Sitta, chui ktk kundi la kondoo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samwel Sitta, chui ktk kundi la kondoo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Jan 8, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  JK alidhani kumuingiza Samwel Sitta katika serikali yake labda itakuwa ni njia mojawapo ya kuponya majeraha na mpasuko ndani ya chama chake. Lakini mambo yameenda tofauti. Samwel Sitta amekuwa akiikosoa serikali na maamuzi ya serikali hivyo kwenda kinyume na dhana nzima ya Uwajibikaji wa pamoja(Collective Responsibility). Majuzi na hata leo amepingana na uamuzi wa serikali wa kuilipa DOWANS. Ikumbukwe kuwa ni yeye aliyeifikisha CCM hapa ilipo.

  Rais JK, mfukuze Sitta. Atakudhuru na ataiangusha serikali. Mbona wenzake akina Mwakyembe wametulia na wanachapa kazi? Sitta hakufai. Wanasema waswahili. ukimchekea nyani, utavuna mabua. Ana chuki baada ya kuukosa uspika.
   
 2. m

  mwasungo Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupigania haki hakujarishi madaraka uliyonayo, KAUMZA wewe mvivu wa kufikiri, na mtu hatari ktk harakat za kuikomboa Tanzania toka kwa mkolooni SISIEMU.
   
 3. nkombemaro

  nkombemaro Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe humjui sitta ila unaijua ccm tu! mbona kumbe unajua kuna wengine wametulia baada ya kupewa vyeo,je huoni kwamba sitta ndo hayupo kwa vyeo maaana hata kama ni waziri lakini anakosoa serikali,au un ataka awe kama makamba?
   
 4. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha unafiki wa kipumbavu ndugu yangu. Sitta amekuwa mzalendo na Kiongozi wa kuigwa. Nategemea ungemshauri Kikwete ajiuzuru uongozi kuliko kumshauri amtoe Sitta Serikalini!! Serikali imekosea na itaendelea kukosea kuwalipa Dowans....

  Unaofikiria kuwa wametulia wanachapa kazi ndio makondoo tusiowataka na wana miaka mitano tu ya kuwa mawaziri. Walipiga kelele si kwa manufaa ya taifa ila matumbo yao. Ilipaswa waendelee kutetea maslahi ya taifa kwa nguvu ileile waliyokuwa nayo wakiwa Wabunge.

  Naomba uwe unatoa ushauri wenye maslahi kwa taifa na siyo kuficha maovu na ufisadi.
   
 5. B

  BA-MUSHKA Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  POLE kwa mtazamo wako wa kichama zaidi kuliko taifa, watu kama Sitta wachache sana nchi hii, wengi wapo kundi lako.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mawazo ya kijua hayo!!!

  yaani chama kwanza utaifa baadaye?

  huo ujinga ndo unanifanya nikifananishe CCM na wafuasi wake kuwa ni sawa na jeneza
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  Sasa bwana mkubwa anachelewa nini kufanya maamuzi hayo? Hapa tulipo ameshachelewa, maji yamezidi unga. Dawa sio kumfukuza Sitta. Ndio atajikoroga zaidi. Dawa ni kutolipa Dowans
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii ni strategy ya chama cha mapinduzi kuhakikisha hawapotezi kabisa imani ya wananchi juu yako.

  Sitta yuko kikazi zaidi.
   
 9. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Nail them Six...nail them hard and more harder!! Ila usisahau ukajipiga kidole na hiyo nyundo yako....
   
 10. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nionavyo mimi anachofanya Sitta ni siasa za unafiki. Ukikaa ktk takataka nawe unakuwa takataka. Utajisafisha vipi wakati nawe na sehemu ya takataka! Dr SLAA wakati anafungua kampeni zake jangwani Dar, alisema CCM hakuna msafi. Vipi mnamtetea Sitta. Ni mnafiki na mzandiki. Vipi unaweza kula chakula na muda huo huo unakitemea mate. Kama anaona Serikali anayoitumikia haifai, vipi asikae pembeni? Kama hana chuki binafsi na kama hana lengo la kumharibia JK, vipi kila siku anainyong'onyeza serikali yake?
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Si jambo la kushangaa!1 Kwani si alikuwa kiongozi wa kukatisha mkataba uliopelekea malipo haya?
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ''You are always clear'' with the lack of clarity! Acha kuwa mvivu wa kufikiri , na usipende kuwa hodari wa umbea! Sitta anajaribu kuwa na mawazo huru yasiyo fungwa na uwaziri! Si lazima ukiwa waziri ushabikie usiri haramu! Je unamkumbuka bi clare short wa uingereza wakati wa sakata la radar ya tz?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Fitna hizo, hamna hata kimoja kibaya kwa CCM alichosema au kufanya Sitta.
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du! nilikuwa sifahamu hii ilitokea lini tena???????
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wewe ni moja ya wezi wa mali za umma kwa hiyo wewe na kikwete mnafurahia malipo ya Dowans kwa kuwa
  zinawarudia kwa mgongo wa nyuma, yawezekana 6 anajua kuwa kikwete anataka ku re place zile Dollar 2M
  za 2005
   
 16. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni sawa Bwana GAD ,Lakini inapokuja suala kaama hili kuongea pekeehaitoshi ,mbona Richmond ilikuwa hivi2 /huyu mzee haaminiki kwa nini yupo pamoja nao au anatafuta maisha !basi ni heri akae kimya tujue moja
   
 17. B

  Baba Tina Senior Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha hayo aliyoyasema hayana mantiki yoyote kwani hata angebaki kua mbunge si angeendelea kuyazungumza hayo. Acha Up..zi.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  tatizo halitatuliwi kwa kukimbiwa.
  Na nafikiri sisiem inahitaji wakosoaji wengi kama kina sitta ili atleast mambo yaende sawa.
  Habari za uwajibikaji wa pamoja hata kama unaona mambo hayapo sawa hakuna hiyo.
  Wapeni moyo hao wachache wanaoweza kuchallenge utaratibu mbovu wa mkwere.
   
 19. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mdau I CONCUR!
   
 20. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa za ki intelijensia! mkwere hawezi kumfukuza sitta, mwakyembe, magufuli na design hizo! Maana intelijensia wanasema tusipokuwa nao hao 2015 hatufiki, intelijensia inasema wacha tuwe na pinda tuonekane si si mafisadi I mean c mafisadi. Intelijensia my foot! ..lol, kesho watu kibao hapo nmc vipi intelijensia? Au unasubiri mida mibovu ndo utoe intelijensia?
   
Loading...