Nilikuwa nikifuatilia tamthiliya ya 24 season 5 na kugundua maamuzi aliyokuwa anachukua logan ni sawa kabisa na haya anayochukua jk. Sijui coincidence ani hii jamani maana kwenye ishu muhimu akishauliwa ye haelewi kitu ila mambo yake tu na ya maswaiba wake jamani. "...i know your president(logan) is a weak man he will comply to our demands..." said beresch telling jack bauer at airport where they were holding hostages
mwenye michango nakaribisha
mwenye michango nakaribisha