Ni mapinduzi ya zanzibar au ya ccm na cuf

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
ndugu wana jamvi leo nilikuwa naangalia siku ya mapinduzi ya zanzibar na nikasikia myangazaji akielezea vizuri kabisa kwamba leo ni siku ya mapinduzi matukufu ya wazanzibari kutimiza miaka 47.

Sikumuelewa vizuri mwandishi baada ya kuangaza uwanja umepambwa na bendera za vyama viwili vya siasa ccm na mpya wake cuf kana kwamba mapinduzi yanasherekewa na vyama hivyo viwili tu na zanzibar hakuna tena vyama vingine.

Pia nikamuona na kiongozi mkuu wa cuf bin ccm mheshimiwa lipumba yupo sanjari na mheshimiwa pius msekwa makamu wa ccm bara.

Nini maoni yenu wana jamvi
 
eti wawakilishi wa vyama vya siasa zanzibar yaan CCM na CFU wanaandamana kupita mbele ya rais
 
Ni mapinduzi ya kikatiba kupitia serikali ya utaifa ambayo mwelekeo wake ni kuvunja muungano kwa staili ya kidiplomasia bila uasi kama wale wanaohubiri kuwaenzi waasisi wa muungano wasivyotaka iwe.
 
Mwanzisha maada what is your take?? unajua ni vizuri kujua haya mambo deeply

Kama alivyogusia mmoja hapo juu, CCM+CUF Zanzibar wameazimia kuvunja muungano, take it or leave it! ni nchi yao, ni mali yao. Ninachowapendea wazanzibar hawana unafiki saana, wanafanya matendo tu, vyama vingine vya siasa kwenda au kujipendekeza zanzibar ni sawa na kuingia choo cha jinsia tofauti-HAWATAKIWI SIYO KWAO! upo hapo???

Pili kuviambia vyama vya bara kushabikia mapinduzi ni sawa na kuvitukana,mapinduzi ya nini?/ Kumpindua Shamte na kuweka mnafiki KArume akisaidiwa na baba mnafiki Nyerere?? waliua watu, kubaka wanawake, na kuindoa serikali huru mwaka 63 ndio unasema mapinduzi na unataka vyam vingine vishabikie??

sijui 'nimekutosha'
 
Argue with sense man, wale wagombea uraisi wengine uko zanzibar walikuwa wa vyama gani kwa uchaguzi uliopiata,na je wazanzibar wote ni wana CCM na CUF, wale wasio na vyama tuwaweke wapi?

MY TAKE: Hakukuwa na Haja ya kupamba maadhimisho hayo kwa bendera za vyama, bali yaadhimishwe kitaifa kwa alama ya taifa ama la zanzibar au kam sehemu ya muungano.

Ebu jiulize siku ya uhuru wa Tanganyika watu wanakuja na kupewa Bendera za CCM kama Chama Tawala na Tishirt na KOfia na KHanga za CCM kutakuwa na maana?.

Nna swali wadau je Seif huwa anaingia kwenye baraza la mapinduzi la Zanzibar?

Anaingia Makamu wa Pili wa Rais ambaye ndo Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, huyu Seif yupo tu kama symbol ya kuwakilisha uwepo wa CUF Zanzibar na kushirikiana na serikali ya CCM but toothless with no power. Kazi ya serikali za hivi ni kudhoofisha demokrasia
 
Zanzibar hakuna tena baraza la mapinduzi mkuu, kuna baraza la wawakilishi, ndilo ulilokusudia au?

lile baraza la mawaziri huko zenj, huitwa baraza la mapinduzi...ni kinyume nyume lakini wahafidhina hawataki kubdilisha nyimbo yao ya mapinduzi daima. kwa hiyo baraza la wawakilishi ni kama bunge na baraza a mapinduzi ndio baraza la mawaziri

Hotuba ya Mhe. Rais wa Zanzibar Na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi. Dk. Ali Mohammed Shein
 
Argue with sense man, wale wagombea uraisi wengine uko zanzibar walikuwa wa vyama gani kwa uchaguzi uliopiata,na je wazanzibar wote ni wana CCM na CUF, wale wasio na vyama tuwaweke wapi?

MY TAKE: Hakukuwa na Haja ya kupamba maadhimisho hayo kwa bendera za vyama, bali yaadhimishwe kitaifa kwa alama ya taifa ama la zanzibar au kam sehemu ya muungano.

Ebu jiulize siku ya uhuru wa Tanganyika watu wanakuja na kupewa Bendera za CCM kama Chama Tawala na Tishirt na KOfia na KHanga za CCM kutakuwa na maana?.

Sijui wewe ni wa upande gani. Lakini Zanzibar ni nchi. Waacheni wafanye mambo yao. Kwa kiasi kikubwa yanawahusu wao wenyewe. Let them do what they like!
 
Sijui wewe ni wa upande gani. Lakini Zanzibar ni nchi. Waacheni wafanye mambo yao. Kwa kiasi kikubwa yanawahusu wao wenyewe. Let them do what they like!

Asante ndugu, nimeshindwa hata kumjibu , analazimisha mambo wakati ndivyo yalivyo, sensible yangu inaonyesha realistic, yake inaonyesha 'wishfull' imekuwa hivyo iko hivyo, hata uhuru wa Tanganyika anousema ni wa watu wachache tu, wenye nazo, sijaona uhuru wa Tanganyika, sijui ukoje na una sura gani!! sijui mauaji ya Arusha ni uhuru! the guys amedanganywa darasani na leo ana Imani Tanganyika ni huru! mtu wa namna hiyo unamsikiliza tu na mentality yake! hajui baada ya kutoka wazungu waliingia wakoloni wengine wanaitwa CCM! sasa hii kumueleza kwa akili zake itakuwa ni kumchanganya tu!
 
Back
Top Bottom