Sherehe za Mapinduzi Zanzibar na Dr Salmini Amour KOMANDOO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe za Mapinduzi Zanzibar na Dr Salmini Amour KOMANDOO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, Jan 12, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu wanajukwaa!! Nipo nafuatilia maadhimisho ya kumbukumbu za Mapinduzi ya Zanzibar!!! Ameingia Dr Salmin, lakini namuona ni dhaifu sana kiafya. Kutoka ktk gari hadi kufika ktk kiti chake ametumia takriban dakika 5. Anasumbuliwa na nini cha zaidi maana si mzee sana kusema labda ni uzee!! Anayejua atujuze
   
 2. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Huyu bwana ana matatizo ya macho. Mara kwa mara amekuwa akienda Ujerumani kwa ajili ya upasuaji wa macho. Ni komandoo kweli kweli na CUF pamoja na Maalimu hawawezi kumsahau kwa jinsi alivyowaburuza maika ya 1990s
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Haoni ni almost kipofu inasemekana
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Hapana, atakuwa na matatizo mengine mbali na macho. Nimemuona kama anatembea kwa kuburuza mguu wa kulia. Inakuwa kama amewahi kushambuliwa na stroke. Amepata shida sana kupanda ngazi hadi kwenye kiti alichopangiwa.
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naona itakuwa ni zaidi ya macho
   
 6. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Angepumzika tu nyumbani mzee wa watu. Ya nini kujitesa. Jamani, HUJAFA HUJAUMBIKA
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280


  Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano-JK

  Rais Kikwete anaingia na kumsubiri Dr. Shein amabye anakuwa wa mwisho kufika. Kweli Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano.
  Protokali ya kibongo hiyo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr salmin amour ana laana za mauaji ya wapemba na laana kama hiyo inamsubiri mkapa kama anavoangamia areal sharon leo hayuhai wala hajafa. Kudadeki wanalewa madaraka. Salmin alisema mpemba kungia ikulu ni sawa na mbwa kungia msikitini.
   
Loading...