Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. “I am here to find a happy resolution, a business decision. I am ready to offer something nice to Tanesco if it works out.” 2. “I don’t want to be known. I am a low-profile businessman. I...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1. Kodi ya Gari (Road Licence Fee) kwa siku iwe shilingi elfu 25 kwa gari moja. Iwapo kiwango hiki kitapitishwa, kutokana na chanzo hiki pekee Serikali itakuwa ikikusanya zaidi ya shilingi bilioni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hata kama ni heshima ya pole kwa kufiwa lakini kwa umri alionao huyu babu alipaswa kweli kumpigia magoti huyu mama?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hatimaye mmiliki wa kampuni ya Dowans amejitokeza hadharani kuja kudai chake!! Kimsingi mpaka sasa naamini huyu ndiye mmiliki wa Dowans. Kama kuna mtu ambaye ana vielelezo/maelezo tofauti na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Baadhi wanaishi Ubungo Plaza ambako gharama ni dola za Marekani 105 kwa siku wengine wanaishi Protea ambako kwa siku ni kati ya dola za Marekani 155 na 180. Sababu wanazotoa, 1. Nyumba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF Nimekuwa nikijuuliza kuwa huyu Fisadi wetu amepata wapi uwezo wa kutatua Matatizo ya siasa katika nchi nyingine wakati matatizo ya nyumbani kwake yanamshinda. 1. Amechakachua kura...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna dhana iliyopo kwa sasa hivi kwamba viongozi wengi wamekaa madarakani kwa muda mrefu na kuchukiwa. Hii inatokana na ukweli kwamba wengine wanashindwa kudeliver lakini wanang'ang'ania madaraka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi wakati wa mlipuko wa mabomu ya Ukonga, hakukuwa na haki ya kuwahamisha wafungwa wa gereza la Ukonga ili kuwaepusha na janga hilo? Nawakilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lawyers: Constitution not targeting 2015 polls From MARC NKWAME in Arusha, 20th February 2011 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 48 POLITICIANS hoping to ride on the proposed new constitution...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Tatizo la umeme Tanzania limekuwa ni donda ndugu tangu wanatanzania wajue kuwa kuna kitu kinaitwa umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupita lakini tatizo la umeme bado lipo na linazidi kuongozeka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I recall at the time when the campaign to force TANESCO to buy DOWANS plants had reached certain peaks, the then MD for TANESCO warned about imminent power shedding hardships that would leave the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wa Ujamaa, Mwalimu Nyerere, pamoja na mambo mengine alisisitiza ubinadamu, na kuheshimiana bila kujali RANGI, dini zetu, itikadi, nasaba, n.k. Sipendi kukuchosheni kwa maandishi mengi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
-Anawashukuru wamechangia posho ya siku moja kwa wahanga wa mabomu ya Gongo la Mboto. -Anasema wamekufa 20 kutokana na mabomu hayo hadi jana jioni ============== Hotuba kamili ya Waziri mkuu ni...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 20th February 2011 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 36 THE government plans to deploy teams of educators to raise people’s awareness on the envisaged constitution...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Duru za siasa zinasema: wameamua kuchakachua akili za WATANZANIA kutusahaulisha malipo ya Dowans! wamefanya makusudi kulipua mabomu nia upepo wa siasa ubadilike, Hawa jamaa ni hatari tusome alama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale walioko karibu na zilipo generatoirs hizo, naomba mtutundikie serial numbers za generator hizo ili tufuatilie kujua thamani yake halisi na mzunguko wake kwenye soko la dunia tangu zitoke...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
After the uprising and success of the phenomenal fueled anti-government demonstrations witnessed in North Africa in the past few weeks, there is every reason to suggest that it's only a matter of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani, Bila shaka, wengi wenu mmeona jinsi wenzetu waarabu walivyoingia mitaani kupinga tawala za kibabaishaji. Wamevumilia wameshindwa. Hatua ya mwisho waliyoona inafaa ni kuingia mitaani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu mi nadhani kuna haja ya katiba hii mpaya tunayoitafta sasa hivi kwa hali na mali kuweka wazi suala la viongozi wa nchi kung'ang'ania madaraka.yani kwa mfano, suala la misri, jordan, tunisia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu Rostam ndie chanzo ya matatizo yote katika Serikali yetu ya Tanzania. Yeye ndie anaeivuruga CCM kwa maslahi yake binafsi na ni yeye ndie alieleta Wahindi/Waarabu wafanyabiashara katika ccm...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom