Kikwete amepata wapi uwezo wa kutatua matatizo ya nchi nyingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete amepata wapi uwezo wa kutatua matatizo ya nchi nyingine?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Feb 21, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wana JF Nimekuwa nikijuuliza kuwa huyu Fisadi wetu amepata wapi uwezo wa kutatua Matatizo ya siasa katika nchi nyingine wakati matatizo ya nyumbani kwake yanamshinda.

  1. Amechakachua kura kwenye uchaguzi uliopita na ameiba haki ya Watanzania
  2. Serikali yake imejaa au inanuka Rushwa, ubinafsi, Ubabe na Ujeuri
  3. Nchini kuna Matatizo huko Arusha kuhusu Meya wa Arusha Mjini
  4. Mlipuko wa mabomu ya G'mboto hatujui kisa au chanzo chake


  Kama yeye ana uwezo kwanini asisuluhishe huko Arusha na Uchakachuaji wake wa kura? au ndio anafuata ulaji AU?. Nahitaji muongozo wana-JF kutatua swali langu linaloniumiza kichwa
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nyani haoni kundule!
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  bado Sijagusia Matatizo ya Elimu na Huduma za Jamii
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Anafaidi matunda ya misingi walioiweka the founding fathers of this nation. Japo yeye ndio anazidi kuimaliza/kuiua........ The outside world has to know how this person is paralyzing our democracy...... Wanajua tu nafikiri Tanzania ni kisiwa cha amani..... seriously, personally, I am ashamed kwa Kikwete kuchaguliwa huko.... kwanza given his thinking capacity - I think in those forums he talks lots and loads of crap......
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Ndio maana tatizo la kodevyaa haliishai
   
Loading...