Wakati wa Ujamaa, Mwalimu Nyerere, pamoja na mambo mengine alisisitiza ubinadamu, na kuheshimiana bila kujali RANGI, dini zetu, itikadi, nasaba, n.k.
Sipendi kukuchosheni kwa maandishi mengi wanaJF. Langu ni swali moja tu:
Kwa nini katika majeshi yetu yote [Ulinzi, Polisi, Magereza, JKT, n.k] hakuna kabisa Wahindi na Waarabu, ambao wanajiita Watanzania kama sisi? Je, jukumu la kuilinda nchi na Usalama wa Raia ni la watu wenye ngozi nyeusi pekee?
Je, hakuna ubaguzi wa rangi Tanzania?