Naomba Serial Numbers za Generators za Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Serial Numbers za Generators za Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichuguu, Feb 21, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kwa wale walioko karibu na zilipo generatoirs hizo, naomba mtutundikie serial numbers za generator hizo ili tufuatilie kujua thamani yake halisi na mzunguko wake kwenye soko la dunia tangu zitoke kiwandani.
   
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii info inaweza kukusaidia:

  Power Plant Gas Turbine
  Complete 120 mw power plant, consist of 4 TM2500 GE gas turbine packages and 1-LM6000PD gas turbine package, 50 hz, 11.5kv Brush Generator.

  Power Plant Gas Turbine, Dowans Tanzania Ltd
   
 3. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Duh!
  Yaani mpaka leo bado kuna jenereta zenye brashi?
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizo ni specifications sio serial number. Machine nyingi zinaweza kuwa na specification za aina hiyo. serial number huwa ni moja tu kwa kila equipment na haijirudii kamwe hata kama equipment hiyo itaondoka sokoni au kwenye matumizi.
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ngoja niende pale ubungo nikiomba c nitapewa?
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Waandishi wa habari hawakumuuliza bg al adawi wkt anaongea nao kuwa ile mitambo yake inagharimu kiasi gani?
   
 7. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mkuu suala lako nalishughulikia, nikizipata nitaziweka jamvini.
   
Loading...