Nani Anayepaswa Kupiga Magoti Hapa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
340x.jpg

Hata kama ni heshima ya pole kwa kufiwa lakini kwa umri alionao huyu babu alipaswa kweli kumpigia magoti huyu mama?
 
Ndallo,

Kwa makabila mengi ya Africa unapokwenda kwenye misiba lazima una-maintain heshima ya hali ya juu... Huwezi kumpa pole mfiwa ukiwa "upright" lazima una-bend au ukiweza unapiga magoti!
 
Kwa kizazi hiki cha sayansi na teknologia bado hizi mila zinafuatwa kweli mkuu?
 
Kwi kwiii Kwanza huyo mama ni nani? na Pia alifiwa na nani? na wana uhusiano gani na mheshimiwa? Ina maana anekuwa Quen Elizaberth kweli angemsujudia hivyo? Just thinkig aloud!

In a serious note kwetu sisi wanaopiga magoti ni wanawake tu (except kanisani wanaume tunapiga magoti). Mwanaume hata awe na miaka 5 akamsalimia mtu aidha mwanamke au mwanaume halafu akapiga magoti under any circumstances, kama ni mtoto siku hiyo atachapwa na hata kaa asahau maishani.

Lakini yapo makabila mengine nasikia wanaume wakisalimia wanapiga magoti! Kwetu hii ni aibu ya mwaka. Utaimbwa tarafa kama sio wilaya nzima.
 
Huyu mama ni mke wa aliyekua Raisi wa Zambia na ni marehemu Levy Mwanawasa!
 
Kwi kwiii Kwanza huyo mama ni nani? na Pia alifiwa na nani? na wana uhusiano gani na mheshimiwa? Ina maana anekuwa Quen Elizaberth kweli angemsujudia hivyo? Just thinkig aloud!

In a serious note kwetu sisi wanaopiga magoti ni wanawake tu (except kanisani wanaume tunapiga magoti). Mwanaume hata awe na miaka 5 akamsalimia mtu aidha mwanamke au mwanaume halafu akapiga magoti under any circumstances, kama ni mtoto siku hiyo atachapwa na hata kaa asahau maishani.

Lakini yapo makabila mengine nasikia wanaume wakisalimia wanapiga magoti! Kwetu hii ni aibu ya mwaka. Utaimbwa tarafa kama sio wilaya nzima.

Ni kwetu sisi .....lakini kwa wao inawezekana kabisa ni sahihi....lakini mmh mibaba ya kiswahili hii ukiona inakunyenyekea nyenyekea ujue mwisho wa usiku unaombwa unyumba!!!! mmmmmh unakuta mkurugenzi wako siku hiyo mmeenda safari eti unashuka kwenye gari ( mkiwa mji/nchi nyingne) anakufungulia mlango wa gari, mara anaoomba akusaidie kubeba pochi ....wakati bado unatafakari nini kimempata bosi unaona anaaanza kukumendea lol jinsia hii ngumu....
Ni vigumu kusema tu ni heshima ukute kanatafuta maslahi haka ka babu kwa mama mwanawasa...natamani nione picha ya mandela alipokuwa akipma pole graca ukute yalikuwa haya haya
mix with yours
 
Back
Top Bottom