Kama waarabu wameweza, ni kitu gani kimetushinda sisi!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama waarabu wameweza, ni kitu gani kimetushinda sisi!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Feb 20, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Jamani,

  Bila shaka, wengi wenu mmeona jinsi wenzetu waarabu walivyoingia mitaani kupinga tawala za kibabaishaji. Wamevumilia wameshindwa. Hatua ya mwisho waliyoona inafaa ni kuingia mitaani kushinikiza viongozi wao waondoke madarakani. Kama waarabu wameweza, kwa nini sisi tusiweze au hali yetu bado haijafikia hatua mbaya kama wao?
   
 2. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Uoga uliopitiliza
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Watanzania wananung'unikia uvunguni hawataki waonekane. Wanapenda sana AMANI na UTULIVU. Eti hawapendi vurugu!!!
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe kila siku si huwa unaponda leo tena unatamani mambo yaliofanywa na wanywa kahawa na kashata, hayo mambo waachieni wanywa kahawa na kashata nyie watu wa amani
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kahawa na kashata zimeisha nini?
   
 6. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mzee mwarabu huyu huyu mliekuwa mkimshutumu gaidi kwa kujilipua(Marekani na Israel),leo atashindwa kuandamana.Mbona hii ni kazi ndogo sana kwao,ni suala la imani tu kama huna huwezi kujilinganisha na Mwarabu. Believes "Allah is One".
   
 7. BULLDOZZER

  BULLDOZZER Senior Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kuandamana tuandamane kwa hili tukio la G/Mboto

  Kuna mtu amenitonya: Anasema yeye alipigiwa simu na kaka yake ambaye ni Mjeshi pale G/Mboto saa 12:00 jioni siku ya tarehe 16/2/2011 kuwa aiondoshe familia yake haraka sana kwani kuna tukio litatokea usiku. Akabeba familia akaipeleka Kinondoni. Huyu jamaa nahifadhi jina lake ila ni mkristo. Nilimuuliza ikiwa amesalimika na tukio la mabomu kwa kuwa najua anaishi Gongo la mboto mwisho.

  Ndipo nilipokumbuka lile Tamko la waislam lililowahi kubandikwa hapa JF. Tujikumbushe!
  "(9) Papa John Paul II alipoitembelea Tanzania mwaka 1990, Kanisa Katoliki lilimkabidhi Ripoti yenye anwani: Activities of the Church in Tanzania. Katika ripoti yake hiyo Kanisa Katoliki limetaja kuwapo kwa Tume ya Majeshi ya Kivita [Commission of Armed Forces] ndani ya Kanisa hilo. Tangu wakati huo hadi leo Waislamu wameitaka serikali iwaondoshe hofu kwa kuweka wazi kazi za Tume hiyo ya Majeshi ya Kivita ndani ya Kanisa. Serikali haijajibu na wala haijajishughulisha na taarifa nzito kama hizo. Hatujui kama Tume hiyo ya Majeshi ya kivita inafanya kazi ndani ya Jeshi la Wananchi au nje ya jeshi hilo. Lakini kwa muktadha wa hali ya uhasama wa serikali na hasa wa Maaskofu dhidi ya Waislamu wanaowahesabu kuwa ni maadui zao, si vigumu kukisia kwa nini Kanisa Katoliki limeunda Tume ya Majeshi ya Kivita. Lakini serikali ambayo haishughulishwi kabisa na Tume ya Majeshi ya Kivita ya Wakatoliki imekuwa na tabia ya kuwakamata na kuwatia ndani Waislamu kwa kesi za kuwabambikia zisizokuwa na kichwa wala miguu. Lakini propaganda zinasema Tanzania ni nchi moja yenye katiba inayolinda haki za watu wote. Mwenye mach haambiwi tazama.

  "Lililo baya zaidi maaskofu walioshindwa kuwashawishi wananchi waipokee na kukubali Ilani yao, wamekuja na kampeni za kuchochea uasi kwa serikali iliyopo madarakani. Lakini pamoja na hali hiyo, viongozi wa CCM na serikali wamebaki wanagwaya. Hakuna aliyeweza kupata ujasiri wa kukemea hali hii. Kinyume chake Waziri Mkuu na Mzee John Samwel Malecela wanahangaika huku na kule wakiwapigia magoti maaskofu hao na kuwakemea wanaothubutu kuwakosoa.
  Hali kama hii ni hatari kwa usalama na utulivu wa nchi. Ni hali ya kuchochea udini na kuweka ombwe la uongozi wa kisiasa ambao utazua balaa. Waislamu hatuwezi kukubali hali hii. Kwa hiyo, ama CCM na serikali vitekeleze wajibu wao wa kuongoza au kama wanaona hawawezi, basi waseme rasmi ili Maaskofu na wengine wenye Ilani zao za uchaguzi waingie tena ulingoni kuomba ridhaa ya Watanzania kuongoza nchi kuliko kuishi katika hiki kiini macho ambapo maaskofu na mawakala wao ndani ya serikali wameachwa waikokote nchi wanakotaka".

  Maoni yangu: Bado tukumbuke kuwa kuna misemo pia imewahi kusemwa kuwa kuanzia sasa Tanzania haitatawaliki tena.
  TUNATAKA SERIKALI ITOE TAMKO JUU YA KUWEPO KWA "TUME YA MAJESHI YA KIVITA" IKIAINISHA KAZI YAKE, NA UHALALI WAKE.
  Hatuwezi kukubali kufa na kuteseka kwa tamaa za watu wachache wenye uchu na madaraka kwa kutumia UDINI. Watu wasiothamini utu wa Mtu na thamani ya damu ya Watanzania. Tuandamane kwa hili.

   
 8. ismase

  ismase Senior Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umenena kweli. napendekeza iundwe tume huru ya kuchunguza kiini cha mabomo ya G/mboto.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Waarabu ni mashujaa sisi huku porojo tu..
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Pwambafu sako. Maandishi meeeeeeeeeeengi lakini upupu tu.
   
 11. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si busara maneno mazito kama haya yapite bila mimi kutia lolote la kuchangia.

  Hakika Serikali yetu imekuwa na kigugumizi kikuba sana katika kulishughulikia tatizo hilo la kanisa kuunda jeshi ndanimwe..

  JK kuwa mkali usiogope kinyume chake nchi utaiweka pabaya
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe kama sio muhaya basi mchaga
   
 13. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenye kujiona kidume athubutu kufanya upuuzi wake aone.

  Wazalendo halisi wa nchi hii tupo. Tutawamaliza kabla ya polisi au jeshi kuingilia kati.

  Kama huna kazi ya kufanya njoo kijijini ugawiwe bure angalau ekari tano ulime. Siyo kubwabwaja maneno ya kishenzi hapa.
   
 14. m

  mubi JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tena kumbuka sisi ni watumwa tulikuwa tunabebwa kirahisi tu kwenda utumwani. Mtumwa ni mwoga sana. Myampara ndiyo serikali yetu betrayer wa wenziye na ikibidi mtumwa ni haki yake kupigwa mabomu na hatakiwa kumbishia Mnympara wake. Akifanya hivyo atakiona cha mtema kuni. Hongera....Elimu Jamii ni muhimu sana,
   
 15. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna point hapa. sijui ni kwa nini mna mawzo ya kuwawazia wenenu ubaya ninyi watu!! nawashangaa sana, sasa kwani hayo mabomu yaliwabagua wakristo na kuwadhuru waislam pekeyetu??
  Hili ni janga la taifa naungana na haop wanaowaza kufanyika uchunguzi juu y hili, au wananchi kusinikiza wote wanaohusika kuwajibishwa. mi sikubali kamwe kua ni suala linalohusu ukiristo au uislam hapa.
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
   
Loading...