Rostam ndiyo chanzo cha matatizo yote!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam ndiyo chanzo cha matatizo yote!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dmalale, Feb 21, 2011.

 1. d

  dmalale Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Huyu Rostam ndie chanzo ya matatizo yote katika Serikali yetu ya Tanzania. Yeye ndie anaeivuruga CCM kwa maslahi yake binafsi na ni yeye ndie alieleta Wahindi/Waarabu wafanyabiashara katika ccm. Yote haya ni katika kuiweka serikali mfukoni mwake. Na ni yeye anaeandaa watakaotawala mwaka 2015 ndani ya ccm. Watanzania Wazee/akina mama, Vijana/akina dada. Hasa Vijana/akina dada hiki ndio kipindi cha kumngoa Rostam bila ya kumngoa Rostam Taifa letu litayumba watoto wetu/wajukuu watateseka. Rostam hajali hapa sio kwao yeye ameamua kuchuma kisha anakimbilia kwao Iraki. Hana uchungu na nchi hii, fuatilia tangu mwaka 2005 alipowekwa kuwa mwenyekiti wa Makusanyo ya pesa za kumweka Kikwete madarakani ametuchukulia mabilion mangapi?. Na amewavuruga wanaccm wala hawaelewani kisha yeye na isitoshe hata Rais kamweka katika wizi kwa kufungua nae makampuni kwa kificho. Rostam ndie rais Kikwete yupo tu pale kama sanamu. Chama/Serikali makini kwasasa hivi Rostam angekuwa ametaifishwa biashara zake zote kwa manufaa ya umma, ni mwizi na ushahidi uko wazi. Amekataa mara kadha kuwa yeye haijui Dowans,Kagoda n.k leo hii baada ya kubanwa na majina yake kuonekana ndio anaanza kusema anaitambua Dowans. Na Rais wako yuko anazidi kukataa kuwa hawaajui dowans. January Makmaba kapewa cheo Bungeni juzi kwa maslahi ya Rais Rostam na Kikwete ili atuchanganye na umeme. Namuuliza siku zote alikuwa wapi, amekuwa mshauri wa Kikwete kwa miaka 5 na Dowans anaijua sana hizi ni mbinu za akina Rais Rostam na Kikwete kwa kutaka kutudanganya sisi Watanzania. Kama giza mpaka sasa tumeshalizoea acha tukae nalo, ila tunataka hili suala la Rais Rostam lieleweke na hatuko tayari kuingia kwenye mkataba wa miezi 3, tuingie kwenye mkataba wa miezi mitatu na nani wakati kampuni sio halali. Hivi huyu J.Makamba anatufanya watanzania ni mazuzu sana. Angalia walivyo wabinafsi babaake kavuta mabomba ya maji kibao kwenda kwake huku akiwaacha wananchi wakiteseka katika hilo hilo eneo, eti kwa vile ni katibu mkuu ccm. Tuendelee vijana/akina dada wasomi wote ni kipindi cha kuandamana kwa amani wote kwa pamoja kushinikiza serikali Kumnyanganya Rostam uraia, kwanza ana uraia wa zaidi ya nchi mbili ambalo sheria ya nchi yetu inakataza. Tumvue uraia na kumfukuza katika nchi yetu sio mwenzetu huyu. Hana huruma na raia wa nchi hii ni mchumaji. Huyu ndie anaetuletea yote haya, yeye ndie anaeleta maafa, mambo ya udini, kutoelewana ndie anaeivuruga Tanzania na ndie atakaeleta maafa ambayo hatutayasahau katika historia ya Tanzania. Tuandamane sasa Rostam aondoke hata kama Kikwete atachukia acha achukukie na akitaka waondoke pamoja. LAKINI ALIOTUFANYIA/ANAYOTUFANYIA INATOSHA. ROSTAM ANATUGAWA SISI WATANZANIA. NDIE ALIELIGAWA BUNGE WENYE PESA NA WASIO KUWA NA PESA. Ndio hao akina Manji anaelipa kodi halali katika serikali yoyote ile hawezi kugawa pesa kama njungu. Hiyo faida haiwezi kumtosheleza hata akina Bill Gates wanatoa msaada kwa utaratibu na kwa mahesabu. Hizo pesa anazogawa Manji Yanga ni pesa zetu ambazo wanatuibia kwa njia ya nyuma ndio mana wanagawa pasipo kujali. Hawalipi kodi, sie tunazitunza baenki kuu wao wanazichukua. Mengi amewahi kuwataja mafisadi papa Kwanini tusiandamane ili wafukuzwe nchini au wakamatwe kwa uhujumu uchumi. Ebu fikiria katika mafisadi papa waliotajwa jiulize kuna mbantu?. Wote ni wahindi ndio hao wanotuibia pesa zetu halafu tunawachekea oh Manji mfadhili. WATANZANIA HAMKENI SASA ACHENI KULALA. INATOSHA...
   
 2. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  I can feel your pains. Kwa suala la huyu Bwana tuko pamoja
   
 3. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  RA ni mmoja, peke yake hawezi kutugawa watanzania iko timu kubwa sana, ukiangalia kwa haraka utaona ni Rostam kumbe ndani yake yuko Lowasa, Chenge, Karamagi, JK, Makamba, msabaha, Ngeleja, A. Makinda, Warema na wengine kibao
   
 4. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Umeandika kwa uchungu sana mkuu. Hizo ni feelings za watanzania wengi sana wenye uchungu na nchi yao. Tunachohitaji hivi sasa ni kuji-organize tujue tunaanzia wapi. Enough is enough! Mimi nipo tayari kujitokeza hadharani na kusimamia mchakato wa kuwang'oa hawa mibaka uchumi. Hatimaye saa ya ukombozi imewadia.
   
 5. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inatia uchungu sana. Lakini haitoshi mkulalamika tu, Rost tamu asingeweza kuwayumbisha watu kama kusingekuwa na mkono wa mkwere na wenzake. Ingekuwa rais makini mbona rost tamu angepewa masaa 24 tu kuondoka nchini baada ya kugundua uchafu wake.

  Dawa ni kufanya mabadiliko ya uongozi. Ni kung'oa CCM na mizizi yake ndo utaumaliza ufisadi na sampuri za akina rost tamu
   
 6. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Tulishasema mara kibao RA ndiyo mzizi wa fitina katika taifa hili, anatufanya wote kama mazuzu tunagombana bila sababu kumbe kijana mdogo ndiyo anapika majungu.

  Leo hii nani asiyejua yaliyomfika Sitta kuwa ni mbinu zake na kundi lake la kifisadi kujitajirisha zaidi na zaidi? Haya angalieni sasa bunge linavyoongozwa.

  Sasa wamefika mbali kwa kumpa January eti Mwenyekiti Kamati ya Nishati na Madini ili ajidai kana kwamba ana uchungu na njisi sakata zima za Richmoond na Dowans lilivyotekelezwa then aje na eti tuingie mkataba wa muda mfupi na tapeli dowans tena, sisi tuna akili wewe January kwanza muda wote huo ulikuwa wapi kutoa ushauri wako?

  Kifupi, Serikali haiwezi kumshughulikia R.A NEVER na CCM pia haiwezi KABISA kumshughulikia R.A. .
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Jamani twende taratibu, RA ndiye rais wa Tanzania, chini yake wapo kina JK, EL na wengineo. Kosa kubwa kwa watanzania ni kuiunga mkono CCM,pamoja na uchakachuaji na wizi wa kura, lakini bado wapo watanzania wengi wanaikubali CCM tena walalahoi wa kula mlo mmoja kwa siku.Siku watanzania wote wakafunguka akili na wakajua kuwa ni ujuha kuipigia CCM kura, basi ndiyo ukombozi utapatikana, kwani wataiba wapi waache wapi wakati watu wote wamewakataa?Tatizo siyo RA na genge lake bali tatizo ni watanzania wenyewe tubadilike, PIGA CHINI CCM OKOA TANZANIA.
   
Loading...