Mlipuko wa mabomu na haki za wafungwa - Ukonga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlipuko wa mabomu na haki za wafungwa - Ukonga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaija, Feb 21, 2011.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wakati wa mlipuko wa mabomu ya Ukonga, hakukuwa na haki ya kuwahamisha wafungwa wa gereza la Ukonga ili kuwaepusha na janga hilo?

  Nawakilisha.
   
 2. DAUDI GEMBE

  DAUDI GEMBE Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wafungwa wana haki ya kuishi hivyo kisheria walitakiwa wahamishwe ili wawe salama.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ninyi wachochezi saana kunataarifa za kiinteligensia zinaonyesa ninyi niwatu wa fujo tuu!
   
 4. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hili nalo neno!!
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  raia wa kawaida Tz bado hana haki, unategemea kudai za mfungwa? Lakini kama unataka sehemu ya kula, fungua NGO inayopigania haki za wafungwa. Utapata publicity na funding.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  nasikiaa kuna wafungwa watukutu wametoroka kwa kukata bati la gereza....
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  bada ninasoma posts zenu. but by the way hapa tz, mfungwa ana haki gani zaidi ya kuvalishwa gwanda na kupata ugali maharage tena mlo mmoja? zaidi ya hiyo ana haki gani zaidi ikiwa raia asiye mfungwa anaishi kama yuko magereza?
   
Loading...