Duru za siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duru za siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by luckyperc, Feb 18, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Duru za siasa zinasema: wameamua kuchakachua akili za WATANZANIA kutusahaulisha malipo ya Dowans! wamefanya makusudi kulipua mabomu nia upepo wa siasa ubadilike, Hawa jamaa ni hatari tusome alama za nyakati mapema.
  Machungu ya uchaguzi tulipoozwa michuano ya CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP!
  Machungu ya malipo ya Dowans Ltd tunasahaulishwa na.......................:attention:
   
 2. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Daah hili kali na balaa... kutusahaulisha ya DOWANS kwa mauaji ya raia zaidi ya 40 wasio na hatia....????
   
 3. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Then they are craz!!!!
  Usitutanie bwana
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kutoweza kukidhi jukumu la kwanza kabisa kwa serikali kuhukikisha usalama wetu na malia zetu, Kikwete na serikali yake wajiuzulu mara moja!!
   
 5. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hawajali hilo unalosema si wanatimaza wajibu wao.
   
 6. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  utani gani sasa, hebu kaa na wadau watakupa mkanda mzima ulivyotengenezwa.

  au mzee unalinda AJIRA!
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  source????
   
Loading...