Kung'ang'ania madaraka na katiba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kung'ang'ania madaraka na katiba.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Tasia I, Feb 21, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wakuu mi nadhani kuna haja ya katiba hii mpaya tunayoitafta sasa hivi kwa hali na mali kuweka wazi suala la viongozi wa nchi kung'ang'ania madaraka.yani kwa mfano, suala la misri, jordan, tunisia na sasa libya liwe wazi katka katiba.
  nafaham kwa sasa katiba inaweka wazi muda wa kikomo viongozi kwa mfano raisi kua ji vipindi viwili vya miaka mi5 mi5.lakini kwa mfano inaofikia kiongozi huyo akang'ang'ania madarakani kiasi cha watu kufikia kuandamana na bado hatoki iweje?
   
Loading...