Naungana na Waganda kumpongeza Museveni kuwa Rais tena kwa Muula wa Nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naungana na Waganda kumpongeza Museveni kuwa Rais tena kwa Muula wa Nne

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by manenge, Feb 21, 2011.

 1. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna dhana iliyopo kwa sasa hivi kwamba viongozi wengi wamekaa madarakani kwa muda mrefu na kuchukiwa. Hii inatokana na ukweli kwamba wengine wanashindwa kudeliver lakini wanang'ang'ania madaraka. Wengine mfono Museveni anafanya vitu vinaonekana kwenye nchi yake ndio maana anaendelea kushinda. Je nie mnaonaje hili?
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ghaddafi ndie ameifanyia makubwa sana nchi yake ukilinganisha na wengine woote wenye ulevi wa madaraka, lakini nae pale nchini mwake mambo yameharibika (amang'ana gasarikire)...
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Yes,...Mu7 is a perfomer.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Juzi umeme ulizimwa karibu masaa 24 huku kaskazini na inasemekana amechakachua hadi akashindwa hayo maeneo. Anyway, ndo siasa za kiafrica hizo. Mimi simpongezi.
   
Loading...