Buriani Shelembi, mpiganaji shujaa wa CHADEMA - Zitto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Buriani Shelembi, mpiganaji shujaa wa CHADEMA - Zitto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Selous, Apr 28, 2011.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Source: Tanzania Daima
   
 2. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Zitto,

  Nimeipenda makala na uchungu nimeupata. Tujipange kuendeleza yale yote aliyoyaasisi. Nafikiria binafsi cha kufanya, nitawasiliana nanyi.
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Shelembi has left us in an unexplainable state, from Lake zone to the hearts of people who are eagerly looking for the great changes of the life of Tanzanians brought by true wazalendo.

  Thank you Zitto for sharing with us.
   
 4. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the best from the man once I regarded the role model for we the youth of Tanzania.
   
 5. C

  Chal Senior Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Binafsi nimeguswa sana na hii makala pia imenipa moyo kuwa unapotafuta mafanikio makubwa yale madogo utakayotangulia kuyapata kabla wengine watayaenzi hata kama utatangulia...RIP Shelembi.
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Naomba kifo cha Shelembi kisiwatishe wala kuwaogopesha wapiganaji wengine wote wa CDM popote walipo.
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  very sad!! makala nzuri inayotuimarisha!
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kinachonisikitisha ni jinsi mlivyomzika kisiasa. Mtu akishakufa tumwache azikwe na watu wote. Marehemu anakuwa hana kabila, dini wala chama cha siasa. Zomeazomea yenu hadi kaburini haipendezi. Wala kutengeneza jukwaa la hotuba za kisiasa makaburini hakuwajengi kiivyo mnavyodhani!
   
 9. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli inasikitisha, kama ni kazi ya Mungu basi jina lake lihimidiwe; kama ni kazi ya mwanadamu naamini atalipwa kutokana na matendo yake.

  Tupo pamoja kaka Zitto na wanaCDM wote katika kipindi hiki kigumu, tutamuenzi Shelembi kwa vitendo na kuhakikisha kazi yake haiishii hewani!
   
 10. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sometimes we tend to forget that, this world is our temporary dwelling place. Let us embrace the good deeds and emulate his life experience in fighting for the peoples' rights, as life is too short to be wasted in vain. Comrade-in-arms, R.I.P.
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  daaah nimetoa machozi.......Zitto umeandika maneno makali sana na yamenitia uchungu sana
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Leo NIMELIA MARA 2 hapa ofcn...watu wananishangaa...Makala hii imeniliza makala ya Ghdaff imeniliza pia...pole Zitto kama ulivyoumia Tanzania imeumia na kila aliemjua shelembi SAVIMBI amelia...vifo hivi viwili vya chacha na Shelembi vimeumiza sana akili yangu..Mungu waweke pema watu hawa waliojitolea kwa ajili ya hii nchi....NENDA SHELEMBI NENDA TANZANIA ITAKUKUMBUKA....
   
 13. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Makala hii imenifanya nimjue Zitto kwa upande wa pili, he is good in writting na kuelezea hisia zake, katika makala hii utajua kabisa jinsi gani anavyokipenda chama chake tofauti na tunavyodhani.

  Zitti amefanya tumfahamu zaidi Shilembi, hakika alikuwa mpiganaji wa kweli kweli

   
 14. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mh Zitto, Aksante kwa makala nzuri na inayohamasisha, kweli imenigusa, umeileta vizuri na umeonyesha jinsi ulivyoguswa, tupo pamoja ktk mapambano, mimi pia nina mipango ya kuimarisha Chadema sehemu ninayotoka, huko chadema bado haijafika, nitakapokamilisha mipango yangu nitakuwa wazi zaidi.
   
 15. k

  kiloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yeah!!!!!!!!!!
  Nyerere njoo uone chama cha siasa kilicho na misingi yako. CDM. Ulichoacha kimeuzwa kwa mafisi wa ahadi.
   
 16. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni makala nzuri yenye kila aina ya msisimko, binafsi nimemuongeza kati ya mashujaa wa chama chetu, tunatakiwa kujifunza kwa yote ambayo aliyafanya na kuyaamini. "A grain of what when dies ... reproduces many many..." hivyo wana chadema na Watanganyika kwa ujumla tumuenzi nugu yetu Shelembi. Nashauri historia yake iandikwe au kuchezewa filamu ili iishi milele... Aluta kontinua mpaka Tanganyika ipate ukombozi wa kweli!!!
   
 17. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Kaka Zitto, nakushukuru sana kwa makala hii inayotufundisha mengi kuhusu chama chadema, marehemu shilembi na wewe mwenyewe binafsi...

  kifo cha shelembi ni pigo kubwa. habari za karibu zinasema alikuwa kwenye pikipiki na ghafla akalalamika kupigwa mkuki, kisha kuugua ghafla hadi mauti...

  kwa namna hiyo ushirikina umetajwa kuhusika kumuangamiza komredi shelembi......

  masikini,tofauti ya ile kura moja inaweza kabisa kuwa chanzo cha kifo chake....kwa kesi ambayo dhahiri alikuwa anaishinda....na hata ungerudiwa angeshinda......

  tangulia shelembi, Mungu pia ameahidi kuwa hakuna amani kwa waovu....hasa wale wanaotafuna nyama za wenzao.....
   
 18. c

  chitage Member

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  dah vry sorry,inauma sana lakini ndiyo njia yetu sote.RIP Kaka
   
 19. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Shelembi kwa jadi alikuwa kama Derefa kwani lafudhi yake ya kisukuma kamwe haikuachi mbavu zikiwa salama.RIP ''lutunya mwana nyenze Shilembi".Upande wa Pili wa ujumbe wa Zitto unatuonyesha jinsi Shilembi alivyosurvive kigumugumu ndani ya Chadema maake kumtetea Wange Rasta ilikuwa ni kugeuka adui wa moja kwa moja kwa Mbowe.Hii inanipa imani kuwa msimamo wake upande wa Zitto ni "changamoto" lakini kwa Mbowe ni "uadui".

  Jiwe la pili limedondoka huku likiwa bado kazini sasa sijui ni nani tena atawarithi hawa maake kumkabili mbowe si kazi ya kitoto .Sijui Zitto ama Shibuda wanaweza kumuenzi Mzee huyu?
   
 20. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Shukrani Mh Zito kwa maelezo sadifu. Nawapa Pole ndugu, wana- CDM na wana nchi wa huko Shinyanga. Kama Bwana alivyotoa, ametwaa..
   
Loading...