Ibara ya 30 (d): MwanaHalisi kufungiwa kwa kuvunja katiba ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ibara ya 30 (d): MwanaHalisi kufungiwa kwa kuvunja katiba ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Apr 27, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Leo gazeti la mwanahalisi limechapisha makala yenye kichwa cha " mkapa kutinga kortini"

  Makala hii ya kubenea imeeleza jinsi mkapa na jakaya walivyoshiliki katika ununuzi wa nyumba ya ubarozi ROMa kwa kesi inayomkabili Pro Mahalu


  Je Mwanahalisi haijaingilia uhuru wa mahakama


  30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma

  (d)kulinda sifa, haki na uhuru wa watu wengine aumaisha binafsi ya watu wanaohusika katika mashauri mahakamani, kuzuia kutoa habari za siri; kutunza heshima, mamlaka na uhuru wa mahakama;
   
 2. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Msilizingatie gazeti hilo kwani linaongoza kwa kukiuka misingi ya uandishi wa habari. Mkitaka kuniamini someni cv ya mhariri wake. Pia, ili habari iwe habari kuna mambo ya msingi matatu ambayo yote mwanahalisi huwa linakiuka.

  1. Ni lazima kuwe na 5 Ws + H.

  2. Ni lazima maadili yote ya Newsworthiness yazingatiwe.

  3. Ni lazima news elements zizingatiwe.

  Hayo yote kwa mwanahalisi hayazingatiwi kabisa. Zamani uandishi wa aina hiyo ulikuwa unaitwa yellow Journalism na umewahi kusababisha vita ya nchi kwa nchi.

  INASHANGAZA SANA KUONA GAZETI HILI BADO LINACHAPISHWA. NADHANI KUKIUKWA KWA MAADILI YA UONGOZI KATIKA NCHI KUNASABABISHA MAGAZETI KAMA HAYA KUDUMU.
  Nitaweza fafanua kama sijaeleweka.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwa makala hii ya leo kuna uwezekano wa kubenea kutinga mahakamani soon au gazeti kufungiwa


  Waziri wa sheria atalifanyia kazi hili
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Umesomea wapi sheria ustaadh?
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Sasa kama wanaokiuka ndio haohao wanaoathirika na magazeti haya, na kama ndio haohao wanaotakiwa kuchukua hatua, unatarajia nini? Negative feedback, au sio...
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  malaria sugu
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jenga Hoja kwani hapa kuna Malaria Sugu?
   
 8. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yupo sahihi kabisa kwani mnataka asiongee kwa nini?kwa sababu mnahusika au?
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nafikiri wazir wa sheria atafiata taratibu za kulifungia gazeti hili
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ooooh,mbona halufungiwi,je habar zake ni za uongo au uchocheziii?
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  gazeti limevunja taratibu za mahakama na katiba ya JMT
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  so it meanz la leo ndio litafungiwaaa????
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  aaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhhh, tuwekee habari nzima tuone content ikoje. Sasa kichwa tu cha habari tuanze kubishana.
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mimi hapa nini hardcopy(nakala ngumu):eyeroll1: najaribu kuitype nitaiweka soon

  ama kweli kwa habari hii GAZETI lazima lifungiwe
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Alihitimu juzo zote za Quran katika chuo kimoja kule Pakistan!!!
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Watu tunasubiria hiyo habari ili tuchangie. Tuone hali ikoje. Ikiwa ni kweli mtakuwa mmepata ka kuanzia maana kila siku mlikuwa mnatafuta jinsi ya kulipoteza.
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa nini Waziri wa Sheria alitetemeka miguu kuwachukulia hatua mafisadi walioifilisi nchi!
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwani kuna ushahidi uliotolewa?

  Mhe kombani atafanya kazi yake kwa gazeti hili , hii itakuwa FUNDISHO KWA MAGAZETI MENGINE
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nkurukumbi, nkurukumbi, niyo yazaile mayenjeeeeeeeeeeeeeeeee, otalitela, otalijumaaaaaaaa, niyo yazaaile mayenjeeeeeeeeeeee......... aghhhhhhhh....... inabidi tuimbe kilugha. We Jeykey utakuwa kama Kombani na Werema. Walisema katiba ibaki kama ilivyo, president au boss wao akasema ifanyiwe mabadiriko sasa na wewe utachongaaaaaaaa alafu gazeti liaendelea kupeta.
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mbona Al -nuur na Al huda hyafungiwi pamoja na Radio Iman? Au kwa vile hili ni gazeti linalofichua mambo ya viongozi wa ccm?
   
Loading...