Waheshimiwa Sugu na Silinde tunaomba majibu yenu kwenye hili!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waheshimiwa Sugu na Silinde tunaomba majibu yenu kwenye hili!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdau, Apr 27, 2011.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Maneno haya yametamkwa na ndugu Shitambala.........


  ...Anaongeza: “Hicho chama nilikuwa naendesha kama kampuni binafsi. Kwani nilikuwa natoa fedha yangu mfukoni, na hawawezi kunikwamisha mimi, wanatumika katika siasa za kikanda, na hapo wanayemtumia ni mmoja, anatumika na watu wa Kaskazini, sasa amepanga kwenda kwa Mwandosya, (Profesa Mark, Waziri wa Maji). Nilimuonya kwamba hao wenzetu wa Kaskazini hawawagusi ministers wao, nimetumia zaidi ya shilingi milioni 200 kukisaidia chama, kuwapromote kina Silinde na Sugu.
  “Kesi za wanachama wa CHADEMA hapa nilikuwa nasimamia bure, lakini zilipokuja kesi za kina Sugu na Silinde wamepeleka Dar es Salaam. Hiki kitendo ni kudharau profession yangu ambayo ndiyo iliyokibeba chama hicho Mbeya....
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hizo kesi ulishinda? Unataka tukupe tena kess ya sugu na silinde uiuze kama kawaida yako? Tumekushtukia
   
 3. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Kuna mwenye records ya kesi zake maarufu kidogo tujue??
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Heheee!!! Mwenyekiti anakimbia Chama kwa sababu ya kunyimwa "dili"? Kweli huyu CCM ndiyo nyumbani kwake. Mbeya mfanyieni tafrija ya kumuaga.
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mramba anatoka Mbeya????????
  Kumbe kisa dili ya kesi?? mbona uliuza chama kabla hata ya kesi ya Sugu na Silinde?
  Kama sio nja njaa kwa nini hukuhama chama kingine na siyo hiki cha magamba sibisha tumbo?
   
 6. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mdau kama ni kweli hiyo nukuu juu ya Mh Shitambala, nafikiri kulikuwa hakuna njia nyingine bali ni kutoka tu kwenye jiko la moto kama wanavyosema wazungu 'If you can not stand the heat, get out of the kitchen'. Huo ni unyama kabisa ambao uongozi wa juu wa CDM waliomfanyia huyu Shitambala
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Khe khe heheheeeeeeeeeeeeee....

  Yani unajua kabisa kwamba shitambala ni lawyer kilaza aliyeshindwa hata kujisimamia mwenyewe tena akiwa lawyer akapoteza kiti then unasema kafanyiwa unyama??? wewe lazima una matatizo makubwa

  Would you trust a lawyer who can even fill a nomination form?? Jamani lets be realistic

  Hata kesi ya straight vipi siwezi mpa yule jamaa........ namfananisha na kijana aliyetoka na zero form six halafu anataka akasome university engineering au medicine

  Shitambala lost it, and he has done a right decision..... to join CCM
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Hapa ndiyo napata mchezo wenyewe ulivyokuwa umepangwa ambao nilimegewa na mzee mmoja ingawa sikumuamini sana. Inasemekana huyu jamaa alipewa hela za kukibomoa CDM tena kwa makubaliano ajenge mtandao wa kikidhoofisha wasipate majimbo ya ubunge na udiwani lakini kunawakati alitofautiana na waliompa hiyo dili kwani hawakuona alichokifanya zaidi ya CDM kustawi ndipo wakakubaliana ahame CDM iliandoke na Baadhi ya viongozi hivyo wangepata wafuasi wengi ambao wangekuwa nyuma yake kuhamia CCM hali ikawa tofauti na matarajio sasa anaona kama atakosa kote ndiyo maana anaishia kulalamika. Nafikiri hata kama issue ilikuwa ni kasi bado angeweza kuwasiliana nao na kuweka mambo sawa pia mtu anahaki ya kuwa na wakili anaye mtaka na kumamini ndiyo maana manji mfadhilg wa ccm anatetewa na marando wa cdm katika moja ya kesi zake, inamaana yeye kwenda ccm wamemuhaidi kumpa kesi? Kweli njaa zingine mbaya sana.
   
 9. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Na bado tutasikia mengi kutoka kwa huyu bwana. Nimuonavyo, ana-qualify kabisa kuwa mrithi wa Tambwe Hiza katika harakati zetu za kujivua magamba ya kale na kuvaa haya magamba mapya. Kiakili ana kipaji kilekile kabisa huyu bwana,na zaidi yeye ana digrii ya sheria....atatufaa sana!
   
Loading...