Kwenye kongamano la Azimio la Arusha pale Mlimani, kiongozi wa vijana na alianza hotuba yake kwa maneno haya: TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYANYASWA KIASI CHA...
Wana JF
Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa Shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya Uenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga. Lakini...
KATIBU wa Mambo ya Nje ya Sekreatarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Januari Makamba amesema chama hicho kimejivua gamba ili kujenga imani kwa umma hasa vijana ambao ni wapiga kura.Kwa mujibu...
Wa Z'bari wapinga rasimu ya katiba,
Wanataka wajadili muungano sio katiba ya tanzania,wakati wazanzbari wanayo katiba yao.
Wanataka tanganyika izaliwe upya ili ndio mjadala ufanyike wa muungano...
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile...
ni yule aliyezuia chadema-moshi kulipia watoto wa shule ada kwa madai kuwa wazazi watakosa uchungu wa elimu kwa watoto wao.
eti na yeye (kinabo) ni mfanyakazi hodari.
Wana JF
Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Mch Mtikila amekuja na mpya kuhusu CCM
"...........Kuhusu hatima ya CCM na kile alichokiita usanii wa kujivua gamba, Mchungaji Mtikila alisema chama hicho...
Hata hivyo Spika Makinda alielezea jinsi anavyokerwa na baadhi ya wasomi ambao huwapotosha wananchi kuhusu Muswada wa kuundwa kwa tume itakayoratibu mchakato wa wananchi kutoa maoni kuhusu Katiba...
Katika kipindi cha mahojiano mnamo tarehe 24/03/2011,Dr Hans Kitine mbali na mambo mengine alidiriki kuangazia ndani ya serikali hii kwa sasa na kusema moja kati vitu vinavyochangia ukosefu wa...
Kuna taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, ameita mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari muda huu kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Hebu wahariri tupeni yaliyojiri mkiwa...
Rais Jakaya Kikwete amekemea watu wanaotaka kuhodhi mjadala wa mchakato wa kupata katiba mpya na amewafananisha na madikteta. Amesema watu hao wanajiona kuwa wao ndio wenye mawazo mazuri kuliko...
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema.
Hivi hawa watu waliopo...
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamegomea kikao cha Baraza la Madiwani kwa kile walichoeleza kuwa ni kupinga kupewa makabrasha ya mkutano siku...
wakuu sikuwa na muda wa kumsikiliza jk kwenye hotuba yake kama kuna mtu anayo nihabarishe tafadhali mambo kama
1.mishahara kwa wafanyakazi
2.Hali ngumu ya maisha
3.Uchumi wa nchi nk