Wazalendo wenye akili wasio na nguvu

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Kwenye kongamano la Azimio la Arusha pale Mlimani, kiongozi wa vijana na alianza hotuba yake kwa maneno haya: TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYANYASWA KIASI CHA KUTOSHA, SASA TUNATAKA MAPINDUZI!
 
kwenye kongamano la azimio la arusha pale mlimani, kiongozi wa vijana na alianza hotuba yake kwa maneno haya: Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, sasa tunataka mapinduzi!
mapinduzi ya aina gani mnayoyataka
 
Dunia ya mapinduzi ya vita, kuondoa madaraka kupitia jeshi yamepitwa na wakati na kimsingi yana gharama kubwa sana. Kwa namna fulani hayajafanikiwa sana. Mapinduzi ya kweli ni yale ya FIKRA, KUJITAMBUA NA KUTIMIZA WAJIBU WAKO KAMA RAIA MWEMA.
 
Back
Top Bottom