Manispaa ya Musoma na Mishahara ya Wafanyakazi

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
mara kwa mara manispaa ya musoma imekuwa inachelewesha mishahara ya watumishi wake, tatizo liko wapi na ni kwanini hawa watumishi wanakuwa hawapewi sababu za kucheleweshwa kwa mishahara yao? mfano mpaka leo hii bado hawajatoa mishahara ile hali maeneo mengine yaliyo mengi wamehapokea mishahara, tatizo lliko wapi hapa Musoma? Mkurugenzi angetoa ufafanuzi kwa kuweka specific date ya kutoa mishahara ili kuleta amani kwa maisha ya Watumishi wake. Cha msingi ni kupeana taarifa na si kukaa kimya
 
Chunguzeni vizuri leo nimeona gazeti kuku ananunuliwa 24000 na mbuzi 385000 Hakuna lolote wizi mtupu
 
Back
Top Bottom